Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu? Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Kwanza tujiulize, watalipa kodi ama? Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.