Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Mtaji ndo tatzo,
 
Si wangetenga bilioni kadhaa wampe Elon musk ajenge bandari ya kisasa zaidi. 😊
 
Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Tuna watu wana vyeti kazi yao ni kuongoza wizi wa mali za umma.
Wasomi wetu wakishasoma,wanaingia kwenye mfumo wa ki illuminat kuanzia makanisani,misikitini hadi serikalini.
Wanatengeneza genge fulani ambalo ni vigumu sana kulishinda.Labda muamue kufa kishujaa mkipambana.
 
Mbona haihitaji rocket science kuelewa hilo
Wee weka simu yako mezani uangalie pembeni kama utaikuta

Wenzetu wanafundishwa maadili tangu wadogo ila sisi unaanza shule unaiba kalamu

Sasa ukiwa mkubwa na msomi unawaza kufanya kazi kwenye upigaji tu na ofisi za madili na idara ambazo kuna ujanja ujanja na rushwa nyingi

Tena viongozi ndio wanawapeleka watoto wao kwenda kuiba

Sasa unategemea ukusanye mapato kihalali bandarini

Wakati mpaka mafuta wana divert
Kila mtu anataka akafanye kazi bandari au TRA akaibe
Li nchi limejaa wezi,mafisadi,wabinafsi ,nchi ina laana hii

Ova
 
Mbona haihitaji rocket science kuelewa hilo
Wee weka simu yako mezani uangalie pembeni kama utaikuta

Wenzetu wanafundishwa maadili tangu wadogo ila sisi unaanza shule unaiba kalamu

Sasa ukiwa mkubwa na msomi unawaza kufanya kazi kwenye upigaji tu na ofisi za madili na idara ambazo kuna ujanja ujanja na rushwa nyingi

Tena viongozi ndio wanawapeleka watoto wao kwenda kuiba

Sasa unategemea ukusanye mapato kihalali bandarini

Wakati mpaka mafuta wana divert
Mfano mwingine Nigeria ina mafuta zaidi ya Dubai lakini Petroli mpaka foleni au uende Black Market kila kitu kinaibiwa mali za umma zinaibiwa fedha za umma zinaibiwa.

Waafrika tumefeli inatubidi tubadilishe mindset zetu.
 
Mbona haihitaji rocket science kuelewa hilo
Wee weka simu yako mezani uangalie pembeni kama utaikuta

Wenzetu wanafundishwa maadili tangu wadogo ila sisi unaanza shule unaiba kalamu

Sasa ukiwa mkubwa na msomi unawaza kufanya kazi kwenye upigaji tu na ofisi za madili na idara ambazo kuna ujanja ujanja na rushwa nyingi

Tena viongozi ndio wanawapeleka watoto wao kwenda kuiba

Sasa unategemea ukusanye mapato kihalali bandarini

Wakati mpaka mafuta wana divert
Ukweli mtupu umeongea, ndugu yangu anafanya etern ya udakitari jana alisahau coat lake jaupe akaenda canteen kunywa chai hakulikuta tena manaake liliibiwa na madakitari wenzake hao ndo wasomi wetu.....
 
Kwa elimu yetu iliyovurugwa kwa maslah ya watu wachache mmh hatuna future nyeupe
 
Hao waarabu wapo India, China, Belgium,UK,Canada, France,Spain S.Korea, Australia, Turkey,S.Africa etc tena nchi zingine wanahudumu bandari zaidi ya moja.

Shida ni terms za mkataba wetu tu ila inaonesha si haba wanaaminika kiasi chake maana kama 10% ya makasha yote duniani yanapitia kwenye mikono yao.

Che Nkapa akitetea ubinafsishaji enzi zake aliwahi kusema,"Rangi ya paka si hoja mradi akamate panya".

Mbona haihitaji rocket science kuelewa hilo
Wee weka simu yako mezani uangalie pembeni kama utaikuta

Wenzetu wanafundishwa maadili tangu wadogo ila sisi unaanza shule unaiba kalamu

Sasa ukiwa mkubwa na msomi unawaza kufanya kazi kwenye upigaji tu na ofisi za madili na idara ambazo kuna ujanja ujanja na rushwa nyingi

Tena viongozi ndio wanawapeleka watoto wao kwenda kuiba

Sasa unategemea ukusanye mapato kihalali bandarini

Wakati mpaka mafuta wana divert

Mungu sijui sisi atupe nini
 
1-Group-Chairman-and-CEO--Sultan-Ahmed-Bin-Sulayem2x.png

Welcome Akhui ingiza mtaji kwenye Bandari ya salama iendeleze Akhui.

Wabilahi Tawfiq Karib Sheikh, makelele ya Walokole yasikutishe Sheikh, leta flus.
 
Back
Top Bottom