Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
wasomi si ndio hao kina makame mbalawa, ni profesa.Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
hili ndio swali kila mtu anajiuliza, wana uchungu sana na tanganyika?Kwa nini hawajaibinafisisha ya Zanzibar ?
Ufanisi wa Bandari unatafutwa kwa kukaa na wataalamu kuumiza vichwa, Si kuuza Bandari.Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Kitendo cha kumkataa JPM haya ndiyo madhara yake! Heri tukunjwe hasaJamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Kabisa mkuuKuwa wengi sio tija. Hata Serengeti utakuta nyumbu zaidi ya 5000 wanakimbizwa na Simba mmoja ambaye hajabalehe. Katika watu 63m kuna wafuatao;
1. Wenye ugonjwa wa kuchanganya L & R kwenye sentensi.
2. Mashabiki wa Yanga.
3. Wakazi wa Geita na Njombe.
4. Wasukuma
5. Wafuasi wa chama cha Mbowe.
6. Wafuasi wa Mwamposa na Kuhani Musa.
7. Mashabiki wa muziki wa Singeli
8. Wahadzabe
9. Machalii wa R
10. Wateja wa Kimboka, Sewa, Corner Bar, Kitambaa cheupe, nk.
12. Video vixens
13. Mpwayungu Village.
Ukitoa hayo makundi hapo juu unakuta wanaobaki wenye akili ni wachache sana kama laki 8 tu.
Ukiingia Bandarini ndio utajua hatuna akili au tuna akili.Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Huna hoja wewe zaidi ya kuanzisha uzi kwa sababu za kijinga.Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.