Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

Wanyonyaji,bila aibu anachukua Bandari zote,baharini na nchi kavu.

Angekua mwafrika mwenzio from namibia au south afrika ungekuja na maneno yako ya kibaguzi hapa? ALEYOMBBA GEKKE mwaniki acha chuki na ubaguzi

Hivi wewe ni wa kanda yetu? Kanda ya ziwa??
 
Kwa nini hawajaibinafisisha ya Zanzibar ?
Unahisi umeuliza swali la maana kumbe andazi tupu kubwa katikati limejaa upepo wa hamira, bandari ya Zanzibar inahudumia nchi moja ambayo ina ukubwa wa wilaya moja ya bara, bandari za bara zinategemewa na nchi takribani 18 ambazo ni locked land, hakuna haja ya kupanua bandari za Zanzibar Ila kuna ulazima wa kupanua bandari za bara nazani nimekujibu Kwa ufasaha.
 
Hapo umefananisha nchi (Tanzania) na jiji (Dubai)

Ilitakiwa iwe Tanzania na U.A.E (United Arabic Emirates)

Tuachane na hayo tuje kwenye hoja ya msingi

Kwa hiyo tufanyeje tuwaache wazawa ambao ni wapigaji na wenye ufanisi mdogo wa kazi au waitwe wenye uzoefu waje kuwapa mafunzo?
 
Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.

Tanganyika haiwezi kuendelea hii ni karma ya kuivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu, mtapanga mkipangua laana ya Uvamizi itaendelea kuwatafuna. Kuondokana na hii laana ni kuiwachia Zanzibar na kuiomba msamaha kwa mauwaji , mateso na kuitia umasikini nchi. Muondoe majeshi yenu na tuishi Kama majirani wanaopendana na kusaidiana
 
Wanyonyaji,bila aibu anachukua Bandari zote,baharini na nchi kavu
Ila pia Kuna wanyonyaji waliokuwa wanavuja mabomba ya mafuta kutoka bandarini mpaka nyumban kwao, wengine kwa makusudi wakifanya mifumo ya Kodi isisomane na TRA....Ila sawa ngoja tuone wataalamu watasemaje
 
Watanzania huenda vyuoni kusoma Bachelor degrees za UJINGA na UCHAWA

Vipi yule professor wa uchumi anayetembea na briefcase yenye miswaki na taulo akisaidiana na professor wa juisi ya Madagaskar wako wapi ?
 
Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Na bado mwanaume anaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja mpaka wanne.
 
20230609_000026.jpg

20230609_000021.jpg
 
Halafu waziri mzanzibar,Rais mzazibar.Hawana uchungu na Tanganyika. Wajukuu zetu ndo wataumia.Wao vilembwe wao watakuwa wanakula good time Zanzibar.
Udini tu unawasumbua, kwa kuwa mwarabu ni muislam basi akataliwe ila wazungu waje tu, sasa kwa taarifa yenu hao wazungu bandari zao zinaendeshwa na mwarabu wa dubai
DPW ni kiboko ya bandari
 
Back
Top Bottom