Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Brevis ni gari nzuri xana kweli kama unavyosema ila ulaji wake wa mafuta ndo mkubwa kiasi, xo ni gari ambayo ukiwa nayo usiwe mtumishi wa serikali wa kusubiria mshahara mpka mwisho wa mwezi, utaipk uwani
 
Gari zimeshuka bei mkononi na si Japan wala kodi ya TRA.
 
Nimeona wadau wengi hapo wamezungumzia kuhusu Fuel Consumption but mbona similar cars kama Mark X bei yake iko juu pamoja na kuwa na cc2500?
Nafikiri Mark X ina mwonekano mzuri zaidi. Na ni kubwa kidogo so ina space ya kutosha ndani hasa siti ya nyuma kuliko Brevis. Pia Mark X production bado inaendelea. So unakuta ina features watu wanazopenda kama smartkey access, push button start etc.
 
Sipendi Gari za chini nahisi huwa naburuzwa ardhini...
Hizi gari ndogo karibu zote huwa ziko chini. Ni watu wachache saana wanaoziendesha bila kuzinyanyua sababu miundombinu yetu ni changamoto kidogo. So unless ununue gari la juu kabisa, ila kama utanunua gari ndogo ndogo, zote zipo chini tu, mpaka uinue kidogo.
 
Iyo Four cylinder itakuwa abnormal.
Wanapo fikiri kuweka idadi kubwa ya cylinder usidhan wanafanya comed
Kuna engine za cylinder chache zina consumption kubwa kuliko za cylinder nyingi kwa sababu tofauti toafuti. Unaweza kuta ina cylinder nne ila ina cc kubwa. Mfano huwazilinganisha ya engine ya 3RZ 4cyl ambayo ina cc 2700 na 1G 6cyl yenye cc2000. Pia uendeshaji wa gari unachangia saana.
 
Hii ni kweli kabisa. Especially kwenye highway. Ile lexus is200 au Altezza as200 unaweza kupata consumption ya 14km kwa lita wakati ila RS200 ni vigumu kifikisha 12km kwa lita sababu ina hp nyingi zaidi.
 
ww sio fundi na hauna uelewa kuhusu rotory engine kwa kukusaidia ingia youtube uangalie rotory engine inafanyaje kazi nakuahidi hauta andika tena upuuzi
 
Nafikiri Mark X ina mwonekano mzuri zaidi. Na ni kubwa kidogo so ina space ya kutosha ndani hasa siti ya nyuma kuliko Brevis. Pia Mark X production bado inaendelea. So unakuta ina features watu wanazopenda kama smartkey access, push button start etc.
Bonge la jibu..
 
Hii ni kweli kabisa. Especially kwenye highway. Ile lexus is200 au Altezza as200 unaweza kupata consumption ya 14km kwa lita wakati ila RS200 ni vigumu kifikisha 12km kwa lita sababu ina hp nyingi zaidi.
Watu wanafikiri gari likiwa na cylinders nyingi ndio linakunywa mafuta. Yaani mi huwa nashangaa kabisa. Mtu hafanyi research akajua uwezo wa gari. Yaani mtu ukimwambia njoo nkuuzie gari yangu six cylinders au V8, utaanza kusikia mhhh jini mafuta ilo, inawezekana kumbe gari alokuwa anayo yeye basi inakunywa kuliko hata hio v8. Na siku izi engine technology kila inavokwenda mbele na gari kuwa controlled by electronic inasaidia katika suala zima la unywaji mafuta, maana kwanza kampuni lazima zifikie kiwango cha emmission kinachotakiwa na kufikia huko inawabidi wafanye control kwenye ulaji wa mafuta.

Sasa kuna mtu humu ananambia technology sio kitu kwenye fuel consumption. Kashindwa hata kuitizama same engine moja ikiwa na vvti na nyengine ikiwa non vvti akaona tofauti.
 
sidhan kama kuna ukweli..nina jamaa ana alteza kuja kurudi job mafuta ya 20 na umbali ni km 32.
Mkuu hio Altezza ni six au four? na kama 6, je ina badge ya Lexus? kama ina badge ya lexus basi hio 32 sio km ni miles hizo.
Na kama ni mjapan, kisha anapata kilomita 4 kwa lita, hio gari haina maintainance nzuri kabisa. Usikute inawaka check engine. Nikiwa mjini na six cylinders lexus is200/Altezza napata kilomita 8 kwa lita.... kwa bei ya mafuta huku kwetu 2230 kwa lita manake mafuta ya buku 20 napiga 70km atleast hapo bila makamuaji, nikiwa nakamua napata walau 65km.
 
Usibishe mkuu, Roraty Engine ipo, na unaikuta katika Mazda rx
Mkuu nisome vzr pale juu,mi ndio nimemwambia huyo jamaa anaesema yeye ni fundi, rotary engine iko kwenye mazda rx 8 ye akabisha nikamwambia basi poa hakuna haja ya discussion tena.
 
Ni vile watu wengi hawana interest na magari, wanaishi kwa mazoea. Engine kubwa za kisasa zinatengenezwa kukidhi mahitaji ya matumizi ya kawaida kama usafiri wa kila siku, na pia kwa wale wanaohitaji performance. Gari za kisasa zina different engine modes eg sport, sport plus, Eco mode etc. Unakuta ina engine kubwa ina inakua tuned kiasi kwamba mafuta inatumia kulingana na mahitaji yako ya nguvu za gari.

Nafikiri tatizo kubwa ni kwamba tunanunua magari ya zamani saana. Gari ya 2007 kwetu inaonekana ni mpya wakati thats as old as the original iPhone, enzi Nokia Nseries ziko kwenye chat. Ni siku nyingi mno. Kuna advancement kubwa saana kwenye technologia kwa kipindi cha miaka 10.

Kweli ni gharama saana kuzinunua, lakini kufanya research na kujua kinachoendelea sidhani kama ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…