Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh duniani kuna magap 20k per day kwenye usafiri tuusidhan kama kuna ukweli..nina jamaa ana alteza kuja kurudi job mafuta ya 20 na umbali ni km 32.
Gari zimeshuka bei mkononi na si Japan wala kodi ya TRA.unajua ununuzi wa gari unategemea na matumizi ya mtu,kuna mtu ananunua gari kwa kuwa tu flani analo,au anapenda muundo pasipo kujiuliza maswali mengi kama ukubwa wa injini n.k
kwa mfano gari kama GX 110 six cylinder unakomaa nalo kwa misele ya Dar si unataka pressure tu..lakini ukiwa na misele ya mbali ukilizubua unaona kweli uko na Gari ya Safari
Brevis ni Gari nzuri sana na wala haina Tatizo,soko tu na usawa wa sasa wa mtanzania ndo maana unaona kama bei iko chini lakini kiukweli gari nyingi zimeshuka bei
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23]
Nauza Allion iko kwenye ubora kabisa
Bei 8.5m mazungumzo kido yapo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Call me at 0625962883
Mkuu namba uliyoweka hapo haipo hewani.ni Pm tuwasiliana nataka kuona chombo kakaNauza Allion iko kwenye ubora kabisa
Bei 8.5m mazungumzo kido yapo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Call me at 0625962883
Nafikiri Mark X ina mwonekano mzuri zaidi. Na ni kubwa kidogo so ina space ya kutosha ndani hasa siti ya nyuma kuliko Brevis. Pia Mark X production bado inaendelea. So unakuta ina features watu wanazopenda kama smartkey access, push button start etc.Nimeona wadau wengi hapo wamezungumzia kuhusu Fuel Consumption but mbona similar cars kama Mark X bei yake iko juu pamoja na kuwa na cc2500?
Hizi gari ndogo karibu zote huwa ziko chini. Ni watu wachache saana wanaoziendesha bila kuzinyanyua sababu miundombinu yetu ni changamoto kidogo. So unless ununue gari la juu kabisa, ila kama utanunua gari ndogo ndogo, zote zipo chini tu, mpaka uinue kidogo.Sipendi Gari za chini nahisi huwa naburuzwa ardhini...
Kuna engine za cylinder chache zina consumption kubwa kuliko za cylinder nyingi kwa sababu tofauti toafuti. Unaweza kuta ina cylinder nne ila ina cc kubwa. Mfano huwazilinganisha ya engine ya 3RZ 4cyl ambayo ina cc 2700 na 1G 6cyl yenye cc2000. Pia uendeshaji wa gari unachangia saana.Iyo Four cylinder itakuwa abnormal.
Wanapo fikiri kuweka idadi kubwa ya cylinder usidhan wanafanya comed
Hii ni kweli kabisa. Especially kwenye highway. Ile lexus is200 au Altezza as200 unaweza kupata consumption ya 14km kwa lita wakati ila RS200 ni vigumu kifikisha 12km kwa lita sababu ina hp nyingi zaidi.Hakuna cha 4 cylinders kuwa abnormal mkuu. wala usifikiri idadi ya cylinder ndio itakayoongeza unywaji wa mafuta..... ishu hapo ni efficiency. Ivi unataka kufananisha V8 engine ya 2015 na 4 cylinder Subaru kwa unywaji? au 2jzge?
Tusiende mbali, hapa hapa mjini tunayo magari ya daily driving, je wajua kuwa Lexus is200 6 cylinders, unywaji wake ni mdogo ukicompare na Altezza 4 cylinders? Vile vile unatambuwa kuwa Altezza ya 4 cylinders ina nguvu kuliko Altezza ya 6 cylinders?
ww sio fundi na hauna uelewa kuhusu rotory engine kwa kukusaidia ingia youtube uangalie rotory engine inafanyaje kazi nakuahidi hauta andika tena upuuziKaka hakuna kitu kinaitwa rotary engine ati ukadai wewe kawaida yake kula oil
Kaka hakuna engine inaokula wala kunywa oil isipokua iwe ina hitilafu
Kaka hata cherehani ikianaza kua nzito ina mafuta yake
Aliokudanganya ENGINE ya gari kula au kunywa oil huyo ni kiboko yako
Wewe unaonesha utakua mtoto wa Mfalme wa saud arabia
Yaani ukifika kituoni unaweka mafuta na oil
Duuuuhh!!!!!
Bonge la jibu..Nafikiri Mark X ina mwonekano mzuri zaidi. Na ni kubwa kidogo so ina space ya kutosha ndani hasa siti ya nyuma kuliko Brevis. Pia Mark X production bado inaendelea. So unakuta ina features watu wanazopenda kama smartkey access, push button start etc.
Watu wanafikiri gari likiwa na cylinders nyingi ndio linakunywa mafuta. Yaani mi huwa nashangaa kabisa. Mtu hafanyi research akajua uwezo wa gari. Yaani mtu ukimwambia njoo nkuuzie gari yangu six cylinders au V8, utaanza kusikia mhhh jini mafuta ilo, inawezekana kumbe gari alokuwa anayo yeye basi inakunywa kuliko hata hio v8. Na siku izi engine technology kila inavokwenda mbele na gari kuwa controlled by electronic inasaidia katika suala zima la unywaji mafuta, maana kwanza kampuni lazima zifikie kiwango cha emmission kinachotakiwa na kufikia huko inawabidi wafanye control kwenye ulaji wa mafuta.Hii ni kweli kabisa. Especially kwenye highway. Ile lexus is200 au Altezza as200 unaweza kupata consumption ya 14km kwa lita wakati ila RS200 ni vigumu kifikisha 12km kwa lita sababu ina hp nyingi zaidi.
Usibishe mkuu, Roraty Engine ipo, na unaikuta katika Mazda rxSawa fundi mchundo,kama hakuna rotary engine no more discussions.
Mkuu hio Altezza ni six au four? na kama 6, je ina badge ya Lexus? kama ina badge ya lexus basi hio 32 sio km ni miles hizo.sidhan kama kuna ukweli..nina jamaa ana alteza kuja kurudi job mafuta ya 20 na umbali ni km 32.
Mkuu nisome vzr pale juu,mi ndio nimemwambia huyo jamaa anaesema yeye ni fundi, rotary engine iko kwenye mazda rx 8 ye akabisha nikamwambia basi poa hakuna haja ya discussion tena.Usibishe mkuu, Roraty Engine ipo, na unaikuta katika Mazda rx
Ni vile watu wengi hawana interest na magari, wanaishi kwa mazoea. Engine kubwa za kisasa zinatengenezwa kukidhi mahitaji ya matumizi ya kawaida kama usafiri wa kila siku, na pia kwa wale wanaohitaji performance. Gari za kisasa zina different engine modes eg sport, sport plus, Eco mode etc. Unakuta ina engine kubwa ina inakua tuned kiasi kwamba mafuta inatumia kulingana na mahitaji yako ya nguvu za gari.Watu wanafikiri gari likiwa na cylinders nyingi ndio linakunywa mafuta. Yaani mi huwa nashangaa kabisa. Mtu hafanyi research akajua uwezo wa gari. Yaani mtu ukimwambia njoo nkuuzie gari yangu six cylinders au V8, utaanza kusikia mhhh jini mafuta ilo, inawezekana kumbe gari alokuwa anayo yeye basi inakunywa kuliko hata hio v8. Na siku izi engine technology kila inavokwenda mbele na gari kuwa controlled by electronic inasaidia katika suala zima la unywaji mafuta, maana kwanza kampuni lazima zifikie kiwango cha emmission kinachotakiwa na kufikia huko inawabidi wafanye control kwenye ulaji wa mafuta.
Sasa kuna mtu humu ananambia technology sio kitu kwenye fuel consumption. Kashindwa hata kuitizama same engine moja ikiwa na vvti na nyengine ikiwa non vvti akaona tofauti.