Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Ukweli una unabaki pale pale. Capacity ya ya jumla ya cylinder ndio kigezo.
Mfano:
Unaweza kuta kuna gari ina
cylider 4@ 250 Cc = 1000 CC

Na jingine

Cylider 5@ 200 Cc = 1000 CC

Consuption ya fuel lazima iwe sawa. Kama mambo yote ya msingi yapo constant na hakuna newa technology ambayo ime intervein kwenye izo system mbili
 
Mwenye experience nayo atuambie wapi wanaona kuna tatizo..ether maintenance kama mchangiaji wa juu alivyosema kwamba spear zake gharama au unywaji wa mafuta tu..na kama ni unywaji wa mafuta mwenye uhakika atuambie hapa inakunywa kms ngapi kwa lita 1..tupate solution tuwe huru na mawazo yetu..
 
Mkuu Hoja yako iko wapi? More cylinders means more fuel? au wap imeegemea? Kama sijaelewa ivi....

Kwa sababu niliposema kuwa unaweza ukakuta 6 cylinders ikawa na unywaji mdogo kuliko 4 cylinders engine ukakataa na kunambia kuwa hio 4 cylinder ipo abnormal.

Nikakulete mfano wa engine ya 1gfe ambayo ni 6 cylinders na 3sge ambayo ni 4 cylinders na kukutaarifu kuwa 4 cylinder ya Altezza ina inakunywa kuliko 6 cylinders 1gfe, kusudi ili niprove point yangu wingi wa cylinder sio kigezo cha unywaji sasa sikuelewi.

Nahisi kama unajigonga kihoja.

Kupitia mfano wako huo huo nikiubadilisha kidogo tu

4 Cylinders Capacity 300cc= 1200cc
5 Cylinders Capacity 200c= 1000cc

Ipi itakuwa na unywaji wa mafuta mwingi?
 
Nisaidie tofauti ya raum, apa, spacio na nardia kwenye eneo la ukubwa injini na unywaji wa mafuta...tafadhari.
 
Wakati niko chuo nilikuwa natumia IST ....hapo ndo niliona tabu za saloon car! Yaan utafikiri natambaa kwenye lami[emoji23] [emoji15]

Niliapa, siku nikipata sufficient chapaaa lazima ninunue SUV
Kama nakuona ukiwa ndani ya Harrier LOL
 
Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
Huu Uongo wa karne,
Kwa Hiyo Brevis zina Kiwanda chake tofauti na aina zingine za Toyota salon cars kama Altezza, Verossa, Mar X, Carina, Crown, GX 110 etc??
 
Lakini hiyo lexus si ni hybrid mkuu?electronic system inasaidia kupunguza unywaji wa mafuta ila ikianza kuchoka ndiyo hapo inakuwa na nguvu kama ya passo ya 800cc huku ikimeza mafuta kama range rover ya mwaka 1983
 
Nimeona wadau wengi hapo wamezungumzia kuhusu Fuel Consumption but mbona similar cars kama Mark X bei yake iko juu pamoja na kuwa na cc2500?
Nilitaka kusema hili.. Ni vizuri mdau umelisemea.nadhani kwenye brevis lipo jambo la ziada mpaka kufanya bei kushuka kiasi hiki.
 
5cylinder hakuna mkuu!
 
Lakini hiyo lexus si ni hybrid mkuu?electronic system inasaidia kupunguza unywaji wa mafuta ila ikianza kuchoka ndiyo hapo inakuwa na nguvu kama ya passo ya 800cc huku ikimeza mafuta kama range rover ya mwaka 1983
EEEE?? Lexus is200 sio hybrid mkuu, inatumia engine ya 1gfe, hii ni Altezza ile ya 6 cylinders, kwenye soko la Europe inauzwa kama lexus is200. Engine yoyote ikichoka inakuwa na nguvu kidogo mafuta ulaji kama Airbus.... sio hybrid cars tu.
 
Nilitaka kusema hili.. Ni vizuri mdau umelisemea.nadhani kwenye brevis lipo jambo la ziada mpaka kufanya bei kushuka kiasi hiki.
Ni issue ile ile ya demand&supply,market determines the price, mark x kutokana na body shape yake inapendwa zaidi na vijana na vijana ndiyo wenye hulka ya kubadilibadili magari kila mara tofauti na sisi wazee!(?)ambao tunakaa na gari hadi siku ukilazimika kutengana nalo unaweka msiba!so vijana wengi bado wanapenda mark x japo kwa kuliulizia ulizia tu na hiyo inalifanya liweze ku sustain kwenye ligi kwa muda mrefu kuliko brevis ambalo linaonekana kama gari la wazee flani hivi,just my thought!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…