Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Ukweli una unabaki pale pale. Capacity ya ya jumla ya cylinder ndio kigezo.Hakuna cha 4 cylinders kuwa abnormal mkuu. wala usifikiri idadi ya cylinder ndio itakayoongeza unywaji wa mafuta..... ishu hapo ni efficiency. Ivi unataka kufananisha V8 engine ya 2015 na 4 cylinder Subaru kwa unywaji? au 2jzge?
Tusiende mbali, hapa hapa mjini tunayo magari ya daily driving, je wajua kuwa Lexus is200 6 cylinders, unywaji wake ni mdogo ukicompare na Altezza 4 cylinders? Vile vile unatambuwa kuwa Altezza ya 4 cylinders ina nguvu kuliko Altezza ya 6 cylinders?
Mfano:
Unaweza kuta kuna gari ina
cylider 4@ 250 Cc = 1000 CC
Na jingine
Cylider 5@ 200 Cc = 1000 CC
Consuption ya fuel lazima iwe sawa. Kama mambo yote ya msingi yapo constant na hakuna newa technology ambayo ime intervein kwenye izo system mbili