Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Iyo Four cylinder itakuwa abnormal.
Wanapo fikiri kuweka idadi kubwa ya cylinder usidhan wanafanya comed
Nikupe mfano..Toyota camry cc2400 4 pistons na Toyota gx 100 cc 2000 6 pistons..unafikiri fuel consumption zitakuwa sawa?haiwezi kuwa sawa hata kidogo..hiyo yenye four pistons itakuwa inatumia mafuta zai..idadi ya piston kwenye gari sio hoja sana..angalia ukubwa wa cc za gari na factors zingine..so hapo ndio watu huwa wanapigwa bila kujijua..Subaru nyingi ni piston 4 lkn cc 2000..so haina tofauti na gx 100 au 110..lkn akiweka subaru hapa akaambiwa hii ni cylinder 4 halafu hii gx 110 cylinder 6..basi atakimbia 6 atakuchukua akidhani amesave kumbe wala.ndio mana unashauriwa kabla ya kununua gari fanya utafiti..
 
Inawezekana ikawa fact kubwa pia..ile gari ndani in ulux flani ivi..ila its ugly kwa nje..ndio maana jamii imeitenga.[emoji1] [emoji1]
 
Natafuta brevis, isiwe na tatizo lolote, kupigwa rangi wala ajali. Kila kitu kiwe kinafanya kazi. Namba D. Njoo inbox kama unayo.
 
Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
Ndio ulivyodanganywa kijiwen kwenu?
 
Gari zote ndogo za mjapan zenye injin ya piston6
Faham ya kuwa ukinunua ujue umefunga nayo ndoa
Sio brevis tu hata markIi GX110 pia GX100 na nyinginezo
 
unafahamu kuwa inatumia diesel? kuna tofaut ya matumizi ya mafuta kwa gari za diesel na petrol. hata bei yake sokoni unaweza kuta zote nu land cruiser v8 moja ya petrol nyingine ya diesel ile ya diesel bei yake ikawa juu zaidi ya ya petrol

Ni kweli kabisa,mfano land cruiser vx v8.Lina cc 5000.
Lita 1 moja inatembea kilomita 10 kwa safari za mbali(high way).
Lita 1 kwa kilomita 8 kwa safari za mjini kwenye barabara zenye foleni.
 
Mzee,Vx v8 cc 5000,model 200 na model 300,kama yale ya serikali(kilimo kwanza).
Yanatumia lita 1/10 km kwa safari ndefu(high way) na lita 1/8 km kwa mizunguko ya mjini.
Amini mkuu,usikariri.
Tena hiyo consumption ni average , ukiendesha vizuri hata 13km/ litre unapata, ni very efficient hayo ma v8, sema watu wanakariri.
 
Aliyesema VX V8 4600 CC inatembea 1/10 Nani?
Yale mashetani yanafyonza mafuta bila huruma
Uuuwiiiih! Eti mashetyani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]
 
Good point..wajuzi wafunguke em tujadiliane..
woga tu. Na kingine ni jinsi unavyoitumia. Consumption yake ni kati ya 10-12km/l kwa safari, na 6-8km/l kwa town trip. Hizi sio gari kwenda nazo kununulia nyanya na miwa sokoni, ni Luxurious cars. Kama huna uwezo kaa nazo mbali, waachie wenye nazo wakutese.
 
5cylinder hakuna mkuu!
Acha umasikin mzee. Kama kuna cylider 3 kwann kusiwe na 5 ilihali 6 zipo?. Suala ni kwamba cylinder 5 haziwez kukaa kwenye V- Shape.
Sasa ww umezoea mfumo wa V. Kumbuka kuna mifumo mingine
 
Nilitaka kusema hili.. Ni vizuri mdau umelisemea.nadhani kwenye brevis lipo jambo la ziada mpaka kufanya bei kushuka kiasi hiki.
Brevis inabwia mafuta kuliko Mark x wakat mark x inakimbia kuliko brevis na spidi inazidi 180 (inakopa) brevis mwisho 182 tu.....ila ni moja kati ya gar comfortable sana.
 
Thubutuuuuuuuuu Labda kama unaendesha spidi 80 hadi 100.......Moro kwenda Dodoma nlitumia mafuta ya 89,000 nlivyorudi Dar nikatafuta mteja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…