mzuluu
Member
- Sep 15, 2014
- 68
- 30
Nikupe mfano..Toyota camry cc2400 4 pistons na Toyota gx 100 cc 2000 6 pistons..unafikiri fuel consumption zitakuwa sawa?haiwezi kuwa sawa hata kidogo..hiyo yenye four pistons itakuwa inatumia mafuta zai..idadi ya piston kwenye gari sio hoja sana..angalia ukubwa wa cc za gari na factors zingine..so hapo ndio watu huwa wanapigwa bila kujijua..Subaru nyingi ni piston 4 lkn cc 2000..so haina tofauti na gx 100 au 110..lkn akiweka subaru hapa akaambiwa hii ni cylinder 4 halafu hii gx 110 cylinder 6..basi atakimbia 6 atakuchukua akidhani amesave kumbe wala.ndio mana unashauriwa kabla ya kununua gari fanya utafiti..Iyo Four cylinder itakuwa abnormal.
Wanapo fikiri kuweka idadi kubwa ya cylinder usidhan wanafanya comed