NIlitumia Tsh 60,000 sehemu yenye umbali wa km 330. an average of Tshs 119 /km. Gari langu lina cc2500. Before that nilikuwa na gari ya cc1500, nilikuwa natumia Tsh 50,000 kwa 330 km. What a difference. Kwa hii ya cc2500 ni comfortable driving na hasa nikiwa masafi, na ile ya cc1500 pasua kichwa driving na hasa nikiwa safari. Now, kwa kifupi am happy kuendesha gari hii ya cc2500. za cc1500 nawaachia wanafunzi.Thubutuuuuuuuuu Labda kama unaendesha spidi 80 hadi 100.......Moro kwenda Dodoma nlitumia mafuta ya 89,000 nlivyorudi Dar nikatafuta mteja.
Duh wacha watu wawe waoga tu maana kms 6 ad 7 kwa petrol na jinsi ilivyo haitulii bei ni kujipa umaskini..better kuchukua subaru legacy gt kama shida ni performance ambayo itaenda kms 9 kiuhakika..woga tu. Na kingine ni jinsi unavyoitumia. Consumption yake ni kati ya 10-12km/l kwa safari, na 6-8km/l kwa town trip. Hizi sio gari kwenda nazo kununulia nyanya na miwa sokoni, ni Luxurious cars. Kama huna uwezo kaa nazo mbali, waachie wenye nazo wakutese.
Wakati nasafiri na nissan td 42 naweka mafuta ya laki dom adi dar napata na ya mizunguko siku mbili..tofauti na hapo kuna benz old model huwa naitumia ltr 1 inaenda km13 adi 14..Thubutuuuuuuuuu Labda kama unaendesha spidi 80 hadi 100.......Moro kwenda Dodoma nlitumia mafuta ya 89,000 nlivyorudi Dar nikatafuta mteja.
Kwani wanandoa hawaachani?Gari zote ndogo za mjapan zenye injin ya piston6
Faham ya kuwa ukinunua ujue umefunga nayo ndoa
Sio brevis tu hata markIi GX110 pia GX100 na nyinginezo
Unatembea spidi ngapi?NIlitumia Tsh 60,000 sehemu yenye umbali wa km 330. an average of Tshs 119 /km. Gari langu lina cc2500.
Nisaidie tofauti ya raum, apa, spacio na nardia kwenye eneo la ukubwa injini na unywaji wa mafuta...tafadhari.
80-120km/hr. Governmental Speed.Unatembea spidi ngapi?
Wakati nasafiri na nissan td 42 naweka mafuta ya laki dom adi dar napata na ya mizunguko siku mbili..tofauti na hapo kuna benz old model huwa naitumia ltr 1 inaenda km13 adi 14..
Sasa hiyo rate si high way/high speed mkuu?...tembea nalo extra urban(kwenye ma-traffic jams) uone balaa lake.Yah!Td 42 ni injini ya cc 4200 na inakula vizuri sana.Dar - Dom ni km 451.Hata ungeweka mafuta ya elfu 75 ungefika tu.Inatumia wastani wa km 12/lita 1.Gari ikiwa nzima kwenye mfumo wa mafuta kama nozel,pump na valves zikiwa safi.
Wanaachana lakini baada ya vikao vingi sana vya usuluhishi...yaana namaanisha baada ya kukutana na madalali wenye kila Aina ya ushawishi ndo unaweza liuza gari la namna hiyo, binafsi naziogopa sana hizo gari japo nikiambiwa nichague moja wapo kati ya hizo bado Brevis itakuwa The number 1.Kwani wanandoa hawaachani?
Kwani wanandoa hawaachani?
Sasa hiyo rate si high way/high speed mkuu?...tembea nalo extra urban(kwenye ma-traffic jams) uone balaa lake.
Usilete mchezo na CC4200 mkuu.