Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

nakazia
 
Kama kalivo kadogo dogo na spea ndani ziko hvo hvo za ajabu..na kana umbo la gar ngumu ila ni kalaini...ukika overdose ukadhan ni ka rav4 umeumia

Vipi nissan xtrail 2010, nimeipenda ile shape lake la kiume... je ni chaguo bora zaidi ya dualis?
 
Vipi nissan xtrail 2010, nimeipenda ile shape lake la kiume... je ni chaguo bora zaidi ya dualis?
Xtrail nayo mule mule ..nisan hiz gar zao sjui vip..wanatengeneza body zur kama gar ya maana lakin engene inakua sio ya uwezo wa mwonekano...xtrail kwa kuchemka safar za mbal acha..yaan inshort watu wenye xtrail wanaugumiaga chin chin unless uwe unaish town tu
 
Sasa na msimu huu wa mvua madimbwi kibao mimaji inajaa barabarani ndio uburuze Nissan Nyanya yako imagine lile li njia la mnazi mmoja linalonyoosha hadi mfugale kunajaaga mimaji pale mbele. Lazma utubu tu 😂😂😂

Juzi nimeburuza Toyota langu mle hadi nikalionea huruma japo halijakorofisha. Maji yalikuwa usawa wa bonet nikawaza je mtu wa Nissan, Benz, Bmw au Audi atatoboa kweli bila dashboard kumeremeta 😂😂😂
 
Ha ha ha kaka umenena mkuu ambaye haja wahi miliki hizi nissan anaweza akaona unamtania...

Ila na mimvua hii kitubio muhimu
 
[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…