Watu hawawezi kuichukia gari bila sababu, lazima kuna jambo.
Kwanini Nissan ina reputation mbaya hapa Tanzania?
Jibu ni kuwa, mara zote Nissan imekuwa ikilinganishwa na Toyota katika suala la maintenance, na sote tunajua Toyota ni more affordable in terms of buying and services.
Mwisho usiwe mwepesi kuamini maoni yoyote positive kuhusu gari fulani kutoka kwa mmiliki wake hapa Tanzania. Kwanini? Bado watanzania hatujawa waungwana kusema ukweli mchungu kuhusu privacy life hususani kwa vile tunavyovimiliki kama gari au mke, tunahisi kama tutachekwa au kubezwa, hivyo tunajihami mnoo kwa uongo.