Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Watu hawawezi kuichukia gari bila sababu, lazima kuna jambo.
Kwanini Nissan ina reputation mbaya hapa Tanzania?
Jibu ni kuwa, mara zote Nissan imekuwa ikilinganishwa na Toyota katika suala la maintenance, na sote tunajua Toyota ni more affordable in terms of buying and services.

Mwisho usiwe mwepesi kuamini maoni yoyote positive kuhusu gari fulani kutoka kwa mmiliki wake hapa Tanzania. Kwanini? Bado watanzania hatujawa waungwana kusema ukweli mchungu kuhusu privacy life hususani kwa vile tunavyovimiliki kama gari au mke, tunahisi kama tutachekwa au kubezwa, hivyo tunajihami mnoo kwa uongo.
nakazia
 
Kama kalivo kadogo dogo na spea ndani ziko hvo hvo za ajabu..na kana umbo la gar ngumu ila ni kalaini...ukika overdose ukadhan ni ka rav4 umeumia

Vipi nissan xtrail 2010, nimeipenda ile shape lake la kiume... je ni chaguo bora zaidi ya dualis?
 
Vipi nissan xtrail 2010, nimeipenda ile shape lake la kiume... je ni chaguo bora zaidi ya dualis?

IMG_7222.jpg

IMG_7223.jpg

IMG_7224.jpg
 
Vipi nissan xtrail 2010, nimeipenda ile shape lake la kiume... je ni chaguo bora zaidi ya dualis?
Xtrail nayo mule mule ..nisan hiz gar zao sjui vip..wanatengeneza body zur kama gar ya maana lakin engene inakua sio ya uwezo wa mwonekano...xtrail kwa kuchemka safar za mbal acha..yaan inshort watu wenye xtrail wanaugumiaga chin chin unless uwe unaish town tu
 
Ni dualis, engine hazina shida, ulaji wa mafuta ni safi shida ya hii gari ni gari mayai haifai kuenda nayo rough road mara kwa mara. Na shida ni spare parts ni aghali mkuu itakufilisi..

Mara utasikia wish bone zimekufa ukiuliza bei ni mshahara wa mwalimu wa secondary,

Kwa ufupi chochote kitakachokufa kwenye nissan ujue ni bei aghali haswaaa...
Sasa na msimu huu wa mvua madimbwi kibao mimaji inajaa barabarani ndio uburuze Nissan Nyanya yako imagine lile li njia la mnazi mmoja linalonyoosha hadi mfugale kunajaaga mimaji pale mbele. Lazma utubu tu 😂😂😂

Juzi nimeburuza Toyota langu mle hadi nikalionea huruma japo halijakorofisha. Maji yalikuwa usawa wa bonet nikawaza je mtu wa Nissan, Benz, Bmw au Audi atatoboa kweli bila dashboard kumeremeta 😂😂😂
 
Ha ha ha kaka umenena mkuu ambaye haja wahi miliki hizi nissan anaweza akaona unamtania...

Ila na mimvua hii kitubio muhimu
Sasa na msimu huu wa mvua madimbwi kibao mimaji inajaa barabarani ndio uburuze Nissan Nyanya yako imagine lile li njia la mnazi mmoja linalonyoosha hadi mfugale kunajaaga mimaji pale mbele. Lazma utubu tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Juzi nimeburuza Toyota langu mle hadi nikalionea huruma japo halijakorofisha. Maji yalikuwa usawa wa bonet nikawaza je mtu wa Nissan, Benz, Bmw au Audi atatoboa kweli bila dashboard kumeremeta [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom