Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Aisee....watu mnajua kuwatisha wenzenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili suala la Xtrail ku'overheat huwa ni MYTHS tu...[emoji848][emoji848][emoji848]
Sasa gari la xtrail uweke maji ya kisima kwa nini lisichemshe..?

Sababu kubwa ya watu kusema Nissan huwa zina chemsha ni hii..

kuna matoleo ya engine nikikumbuka code zake nitaziweka hapa...engine hizi zilikuwa hazina oil cooler...
Kama inavyofahamika kazi ya oil mbali na kulainisha mitambo, pia inasaidia kupooza engine.

Watu wengi waliopata matatizo na Nissan, watu hao ndiyo wamekuwa chanzoncha matatizo kwa kuhudumia Nissan kama vile wanahudumia Starlet...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mvua nuksi,kuna jamaa yangu kiduet chake akikata kona kali kulia anasikia mlio mguu wa nyuma upande wa kushoto!
 
Kakwambia ni gari nzuri ukiitunza ila hajaishia hapo tu kuitunza kasema "ukiitunza vizuri"

Kakwambia pia ni gari nzuri kama ukiitumia tu ila kamalizia kwa kusema "ukiitumia vizuri"

sasa wewe kachukue ulitunze na ulitumie halafu usimalizie na huo msisitizo "vizuri" ndio utaelewa

wale wanaopanda mwendokasi na wanamagari home huwa wanapenda au wanafanya makusudi.
 
Nissan siyo nyanya kama watu wanavyozizungumzia....[emoji55]

Na isitoshe gari hizi za EFI kupita kwenye maji ni suala la kawaida sana toafauti na magari ya carburetor..

cha msingi chunga maji yasiingie kweny chamber ya air cleaner, kisha yakaingia kwenye throttle body na kuelekea kwenye intake manifold...hapo lazima ile upande wa dereva..[emoji21][emoji21]

Nadhani shida kubwa mindset ya watanzania imetekwa na slogan ya Toyotalism...

Lakini ukifuatilia kwa undani utagundua magari ya kampuni mbali mbali hususani yanayoanzia miaka ya 2005 yanafanana sana quality zake na teknolojia.....hapo linabaki suala la mapenzi ya mtu na mfuko wake namna ya kuhudumia gari flani..


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna jamaa nilinunua gari kwake, nikamwambia nataka gari ingine akasema nimpe 16milion anipe Nissan dualis kwa kweli nilishangaa mno
 
Zina shida gani? Mbona bei imeporomoka hivyo
 
Ushauri mzuri
 
Hii gari bhna nimeendesha jumamosi, yan kuingia tu hivi ndani nikahisi something is not right nikasema labda imepigishwa pasi ndefu kwenye service. Nikasema niangalie milangoni, zile vitambaa za milngoni zote zimeshuka chini...za milango yote yani (just imagine) kuangalia juu sunroof kuifungua ikakwama mahali. Haikufunguka yote. Kitambaa cha roof pia kishashuka shuka..., the only good thing niliipendea ni inanusa wese tu yanii, dah i'd not go for a dualis. Bora gari zingine za Nissan but not this. Yai yai sana yanii
 

Nilijaribu kuwafata SAFARI AUTOMATIVE walisema shida ya dualias ni milango na roof hata unapofanya Interior Design wanashauri sana milango na roof.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…