Hii gari bhna nimeendesha jumamosi, yan kuingia tu hivi ndani nikahisi something is not right nikasema labda imepigishwa pasi ndefu kwenye service. Nikasema niangalie milangoni, zile vitambaa za milngoni zote zimeshuka chini...za milango yote yani (just imagine) kuangalia juu sunroof kuifungua ikakwama mahali. Haikufunguka yote. Kitambaa cha roof pia kishashuka shuka..., the only good thing niliipendea ni inanusa wese tu yanii, dah i'd not go for a dualis. Bora gari zingine za Nissan but not this. Yai yai sana yanii