Wabongo wanaendesha gari imewaka check engine light miezi 6.gari lolote ukilitunza kama mtengenezaji alivyoshauri....lazima utakaa nalo muda mrefu tu....
Tatizo wabongo wamekari..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaah kimeua shockup za nyumaHizi mvua nuksi,kuna jamaa yangu kiduet chake akikata kona kali kulia anasikia mlio mguu wa nyuma upande wa kushoto!
Hapana 😀,kumbe deef kwa upande wa kushoto ilikauka greaceHahahaah kimeua shockup za nyuma
Daah nilikua pia nimeipenda..nikawa naifatilia kwa karibu sana..Duuh juzi kati si kuna mtu kapasua taa..kwenda kuulizia anaambiwa eti laki Saba..nika cancel haraka sana.Usije ukainunua ndg tafuta watu watatu wanaoimiliki omb mawazo yao
Wawili kati yao watakwambia usijaribu
Na ndio ugonjwa wake mkubwa... Kushuka kwa roof na cover za milango! Ila design ya dash board nayo ni mbaya sijawahi ona! Sijapenda muonekano wake. Kinachowasumbua wabongo ni kununua gari kwa kuigana na mtu akiiona gari fulani inanunuliwa sana, nae huyoHii gari bhna nimeendesha jumamosi, yan kuingia tu hivi ndani nikahisi something is not right nikasema labda imepigishwa pasi ndefu kwenye service. Nikasema niangalie milangoni, zile vitambaa za milngoni zote zimeshuka chini...za milango yote yani (just imagine) kuangalia juu sunroof kuifungua ikakwama mahali. Haikufunguka yote. Kitambaa cha roof pia kishashuka shuka..., the only good thing niliipendea ni inanusa wese tu yanii, dah i'd not go for a dualis. Bora gari zingine za Nissan but not this. Yai yai sana yanii
Achana nayo hiyo, mkuu umependa ule muonekana wa buti la mgambo au? Na pia labda kama mtu wa o-bey posta ila kama uswahilini kwetu haifaiDaah nilikua pia nimeipenda..nikawa naifatilia kwa karibu sana..Duuh juzi kati si kuna mtu kapasua taa..kwenda kuulizia anaambiwa eti laki Saba..nika cancel haraka sana.
Ila sahiz naifatilia Toyota Rumion naona itanifaa
Umekimbia kwasababu hakuna vifaa reject au used.Daah nilikua pia nimeipenda..nikawa naifatilia kwa karibu sana..Duuh juzi kati si kuna mtu kapasua taa..kwenda kuulizia anaambiwa eti laki Saba..nika cancel haraka sana.
Ila sahiz naifatilia Toyota Rumion naona itanifaa
Na ndio ugonjwa wake mkubwa... Kushuka kwa roof na cover za milango! Ila design ya dash board nayo ni mbaya sijawahi ona! Sijapenda muonekano wake. Kinachowasumbua wabongo ni kununua gari kwa kuigana na mtu akiiona gari fulani inanunuliwa sana, nae huyo
Go for that subie fozzie. Thats the best kwa bajeti yakomkuu kwa hizi gari za juu below 20m unashauri ipi? how about subaru forester ya 2009?
Fuel consumption iko juu na uzuri nimetumia hiyo gari nisikufiche inakunywa kweli kweli 😀... Lakini pia ni gari flani nyepesi na engine ina nguvu kubwa ndio maana njiani ni moto! Kuhusu spea zipo za kutosha tu ila kama umezoea toyota hapo kwa subaru utapata maumivu ya bei kidogo! Chuma ni AWD yani All Wheel Drive hukwami popote! Design nachukia tu seat zake ukikaa ni kama umetumbukia 😀 zipo chini yani. Kama unaangalia gari ambayo itakupa unafuu kui run hasa kwenye spea basi usitoke nje ya toyota! Kwa 20M chukua Klugger engine ya 2AZmkuu kwa hizi gari za juu below 20m unashauri ipi? how about subaru forester ya 2009?
Ila ajiandae kwa wese na spare parts tena kuanzia kwenye oilGo for that subie fozzie. Thats the best kwa bajeti yako
Nissan ni gari imara sana, mpaka kifaa kiharibike si leoBush za wishbone hizo, wa Toyota 40K umetia bush zote mpya ila wa nissan utakuta bush 1 tu ndo 50k [emoji23][emoji23][emoji23] mchawi madimbwi tu
Kaitie kwenye maji uone kama kifaa ni imara kiasi hicho.Nissan ni gari imara sana, mpaka kifaa kiharibike si leo
Well saidgari lolote ukilitunza kama mtengenezaji alivyoshauri....lazima utakaa nalo muda mrefu tu....
Tatizo wabongo wamekari..
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nissan ni gari nyanya [emoji848]Nissan siyo nyanya kama watu wanavyozizungumzia....[emoji55]
Na isitoshe gari hizi za EFI kupita kwenye maji ni suala la kawaida sana toafauti na magari ya carburetor..
cha msingi chunga maji yasiingie kweny chamber ya air cleaner, kisha yakaingia kwenye throttle body na kuelekea kwenye intake manifold...hapo lazima ile upande wa dereva..[emoji21][emoji21]
Nadhani shida kubwa mindset ya watanzania imetekwa na slogan ya Toyotalism...
Lakini ukifuatilia kwa undani utagundua magari ya kampuni mbali mbali hususani yanayoanzia miaka ya 2005 yanafanana sana quality zake na teknolojia.....hapo linabaki suala la mapenzi ya mtu na mfuko wake namna ya kuhudumia gari flani..
Sent using Jamii Forums mobile app