Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

gari lolote ukilitunza kama mtengenezaji alivyoshauri....lazima utakaa nalo muda mrefu tu....
Tatizo wabongo wamekari..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo wanaendesha gari imewaka check engine light miezi 6.

Ukimuuliza, anakwambia 'i know my car'.

Huyohuyo ukimpa Nissan au European anaanza maneno kibao. Asijue tatizo sio gari, ila ni yeye.
 
M nakushauri nunua kisha uje utupe mrejesho..ambao umenyooka usio na uongo...hela si unazo bhna..shida nini mana kama matatizo tumeumbiwa wanadamu..na tunajifunza kutokana na makosa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Usije ukainunua ndg tafuta watu watatu wanaoimiliki omb mawazo yao
Wawili kati yao watakwambia usijaribu
Daah nilikua pia nimeipenda..nikawa naifatilia kwa karibu sana..Duuh juzi kati si kuna mtu kapasua taa..kwenda kuulizia anaambiwa eti laki Saba..nika cancel haraka sana.
Ila sahiz naifatilia Toyota Rumion naona itanifaa
 
Hii gari bhna nimeendesha jumamosi, yan kuingia tu hivi ndani nikahisi something is not right nikasema labda imepigishwa pasi ndefu kwenye service. Nikasema niangalie milangoni, zile vitambaa za milngoni zote zimeshuka chini...za milango yote yani (just imagine) kuangalia juu sunroof kuifungua ikakwama mahali. Haikufunguka yote. Kitambaa cha roof pia kishashuka shuka..., the only good thing niliipendea ni inanusa wese tu yanii, dah i'd not go for a dualis. Bora gari zingine za Nissan but not this. Yai yai sana yanii
Na ndio ugonjwa wake mkubwa... Kushuka kwa roof na cover za milango! Ila design ya dash board nayo ni mbaya sijawahi ona! Sijapenda muonekano wake. Kinachowasumbua wabongo ni kununua gari kwa kuigana na mtu akiiona gari fulani inanunuliwa sana, nae huyo
 
Daah nilikua pia nimeipenda..nikawa naifatilia kwa karibu sana..Duuh juzi kati si kuna mtu kapasua taa..kwenda kuulizia anaambiwa eti laki Saba..nika cancel haraka sana.
Ila sahiz naifatilia Toyota Rumion naona itanifaa
Achana nayo hiyo, mkuu umependa ule muonekana wa buti la mgambo au? Na pia labda kama mtu wa o-bey posta ila kama uswahilini kwetu haifai
 
Daah nilikua pia nimeipenda..nikawa naifatilia kwa karibu sana..Duuh juzi kati si kuna mtu kapasua taa..kwenda kuulizia anaambiwa eti laki Saba..nika cancel haraka sana.
Ila sahiz naifatilia Toyota Rumion naona itanifaa
Umekimbia kwasababu hakuna vifaa reject au used.

Rumion unaweza pata used za kutosha tu.
 
Na ndio ugonjwa wake mkubwa... Kushuka kwa roof na cover za milango! Ila design ya dash board nayo ni mbaya sijawahi ona! Sijapenda muonekano wake. Kinachowasumbua wabongo ni kununua gari kwa kuigana na mtu akiiona gari fulani inanunuliwa sana, nae huyo

mkuu kwa hizi gari za juu below 20m unashauri ipi? how about subaru forester ya 2009?
 
dah hii gari naipenda sana kwa muonekano na kutest kuendesha mpaka nafikiria niuze ist yangu ninunue Dualis mwezi ujao lkn mm co mjuzi wa magari kabisaa, zaidi nategemea ushauri wa watu.
 
mkuu kwa hizi gari za juu below 20m unashauri ipi? how about subaru forester ya 2009?
Fuel consumption iko juu na uzuri nimetumia hiyo gari nisikufiche inakunywa kweli kweli 😀... Lakini pia ni gari flani nyepesi na engine ina nguvu kubwa ndio maana njiani ni moto! Kuhusu spea zipo za kutosha tu ila kama umezoea toyota hapo kwa subaru utapata maumivu ya bei kidogo! Chuma ni AWD yani All Wheel Drive hukwami popote! Design nachukia tu seat zake ukikaa ni kama umetumbukia 😀 zipo chini yani. Kama unaangalia gari ambayo itakupa unafuu kui run hasa kwenye spea basi usitoke nje ya toyota! Kwa 20M chukua Klugger engine ya 2AZ
 
Nissan siyo nyanya kama watu wanavyozizungumzia....[emoji55]

Na isitoshe gari hizi za EFI kupita kwenye maji ni suala la kawaida sana toafauti na magari ya carburetor..

cha msingi chunga maji yasiingie kweny chamber ya air cleaner, kisha yakaingia kwenye throttle body na kuelekea kwenye intake manifold...hapo lazima ile upande wa dereva..[emoji21][emoji21]

Nadhani shida kubwa mindset ya watanzania imetekwa na slogan ya Toyotalism...

Lakini ukifuatilia kwa undani utagundua magari ya kampuni mbali mbali hususani yanayoanzia miaka ya 2005 yanafanana sana quality zake na teknolojia.....hapo linabaki suala la mapenzi ya mtu na mfuko wake namna ya kuhudumia gari flani..

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nissan ni gari nyanya [emoji848]

Haki mpaka unajiuliza maswali
 
Back
Top Bottom