Nissan unauziwa bei rahisi ila matunzo aghali sana. Toyota unauziwa bei ghali ila matunzo rahisiSasa hapo kwenye matunzo ya gari ndio watu wanapolia napo... Kuna gari hazihitaji gharama kuuubwa kuzitunza kama maana unapozungumzia kutunza gari ni pamoja na kufanta service, kubadili spare kwa wakati nk. Sasa hivyo vitu ndio unakuja kupata gharama halisi ya kui run hiyo gari sasa angalia kwa nissan na toyota..
Mwache aonje sumu kwa kuilambaUsijaribu kuacha mbachao kwa msala upitao. Usiuze IST yako ili kununua Dualis, utajuta.
Kigari kibaya hiki kina muonekano wa chura 😂😂😂Vip kuhusu NISSAN JUKE ?
Siyo nissan HARDBODY...[emoji38]Sasa unazungumzia nissan hardbody mtambo wa kazi utafananisha na nyanya kama xtrail ama murano?
Hivi hakuna namna ya kuchakachua angalau siti ya dereva ipande juu kidogo..[emoji28]Hio ndio kitu kimeniudhi katika hio gari kwa kweli. Kuna jamaa yangu analo nikamwambia sijawahi kalia subaru hebu ni test drive. Lipo kimya sana ndani, sound system nzuri ila siti jau,,,yani upo kwenye 4*4 ila siti ziko chini utafikiri umekaa kwenye crown[emoji23][emoji23][emoji23]!
Niliendesha Suzuki Grand Vitara lipo na siti nzuri kuliko hio Subaru.
Hahahah gari yeyote ni nzuri ukiwa na pesa ila ukiwa kapuku hata IST tu itakutoa nishai!Nissan tatizo lake ni kuharibika wakati umefulia na ukilipeleka kwa fundi Joni linagoma kutengamaa. Ila kama pesa ipo utalipenda. Mm nimetumia sana nissan. Xtrail Mara 3, march Mara 1, Elgrand Mara 1. Omba tu lisiharibike ukiwa huna pesa. Bora upaki usubiri ukipata pesa.
Haisaidii. Ndo walivyodesign.Hivi hakuna namna ya kuchakachua angalau siti ya dereva ipande juu kidogo..[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah labda uchongeshe siti kubwa. Hapa ndipo Subaru walipochemka. Gari ina ground clearance nzuri ila ndani ipo chini sana you don't get that Prado feeling 😌Hivi hakuna namna ya kuchakachua angalau siti ya dereva ipande juu kidogo..[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ist angalau ina uelewa. Ukiwakabidhi mafundi John wanaweza ata unga unga likatengamaa kwa muda. Nissan kama huna ela utapasuka.Hahahah gari yeyote ni nzuri ukiwa na pesa ila ukiwa kapuku hata IST tu itakutoa nishai!
Nissan ukipeleka kwa fundi Omari umeimaliza. Ile inataka mikompyuta computer. Ila Toyota fundi anaweza kuikadiria tu.Mkuu ist angalau ina uelewa. Ukiwakabidhi mafundi John wanaweza ata unga unga likatengamaa kwa muda. Nissan kama huna ela utapasuka.
Huwezi pata hiyo feeling hata ukichonga siti kubwa boss... Utapata hiyo hiyo Subaru feeling ila comfort itapungua. Ukitaka Prado feeling jipange vuta Prado.Hahah labda uchongeshe siti kubwa. Hapa ndipo Subaru walipochemka. Gari ina ground clearance nzuri ila ndani ipo chini sana you don't get that Prado feeling 😌
Hahaha fundi omari na testa yake mkononi atakumbia imeua controlbox.Nissan ukipeleka kwa fundi Omari umeimaliza. Ile inataka mikompyuta computer. Ila Toyota fundi anaweza kuikadiria tu.
Ndio raha ya ToyodaHahaha fundi omari na testa yake mkononi atakumbia imeua controlbox.
Hatari sana, prado tamu sana mzee😂 usiombe upande yenye air suspensions ile.Huwezi pata hiyo feeling hata ukichonga siti kubwa boss... Utapata hiyo hiyo Subaru feeling ila comfort itapungua. Ukitaka Prado feeling jipange vuta Prado.
Sijawahi itumia hii gari zaidi ya Yale ya zamani.(Sx.)Hatari sana, prado tamu sana mzee😂 usiombe upande yenye air suspensions ile.
....na magari ni kama wanawake...Sasa hapo kwenye matunzo ya gari ndio watu wanapolia napo... Kuna gari hazihitaji gharama kuuubwa kuzitunza kama maana unapozungumzia kutunza gari ni pamoja na kufanta service, kubadili spare kwa wakati nk. Sasa hivyo vitu ndio unakuja kupata gharama halisi ya kui run hiyo gari sasa angalia kwa nissan na toyota..
Anyway[emoji849][emoji849][emoji849],Kila gari na changamoto zakeHaisaidii. Ndo walivyodesign.
Ni kama Rav 4 Masawe na Killi time, zile siti zake za nyuma ukikalia unaweza feel umekalia yale mabenchi ya benki wakati unasuburi kuhudumiwa..[emoji31][emoji31][emoji31]Hahah labda uchongeshe siti kubwa. Hapa ndipo Subaru walipochemka. Gari ina ground clearance nzuri ila ndani ipo chini sana you don't get that Prado feeling [emoji18]