Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Sasa hapo kwenye matunzo ya gari ndio watu wanapolia napo... Kuna gari hazihitaji gharama kuuubwa kuzitunza kama maana unapozungumzia kutunza gari ni pamoja na kufanta service, kubadili spare kwa wakati nk. Sasa hivyo vitu ndio unakuja kupata gharama halisi ya kui run hiyo gari sasa angalia kwa nissan na toyota..
Nissan unauziwa bei rahisi ila matunzo aghali sana. Toyota unauziwa bei ghali ila matunzo rahisi
 
Sasa unazungumzia nissan hardbody mtambo wa kazi utafananisha na nyanya kama xtrail ama murano?
Siyo nissan HARDBODY...[emoji38]
Gari lolote likiingia maji kwenye mfumo wa mafuta na hewa lazima lizingue..

Pili, gari lolote sehemu nyeti za kuchunga maji yasiingie ni kwenye alternator, starter motor na kwenye fuse boxes zile zinazokaa KWENYE hood..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nissan tatizo lake ni kuharibika wakati umefulia na ukilipeleka kwa fundi Joni linagoma kutengamaa. Ila kama pesa ipo utalipenda. Mm nimetumia sana nissan. Xtrail Mara 3, march Mara 1, Elgrand Mara 1. Omba tu lisiharibike ukiwa huna pesa. Bora upaki usubiri ukipata pesa.
 
Hio ndio kitu kimeniudhi katika hio gari kwa kweli. Kuna jamaa yangu analo nikamwambia sijawahi kalia subaru hebu ni test drive. Lipo kimya sana ndani, sound system nzuri ila siti jau,,,yani upo kwenye 4*4 ila siti ziko chini utafikiri umekaa kwenye crown[emoji23][emoji23][emoji23]!

Niliendesha Suzuki Grand Vitara lipo na siti nzuri kuliko hio Subaru.
Hivi hakuna namna ya kuchakachua angalau siti ya dereva ipande juu kidogo..[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nissan tatizo lake ni kuharibika wakati umefulia na ukilipeleka kwa fundi Joni linagoma kutengamaa. Ila kama pesa ipo utalipenda. Mm nimetumia sana nissan. Xtrail Mara 3, march Mara 1, Elgrand Mara 1. Omba tu lisiharibike ukiwa huna pesa. Bora upaki usubiri ukipata pesa.
Hahahah gari yeyote ni nzuri ukiwa na pesa ila ukiwa kapuku hata IST tu itakutoa nishai!
 
Hahah labda uchongeshe siti kubwa. Hapa ndipo Subaru walipochemka. Gari ina ground clearance nzuri ila ndani ipo chini sana you don't get that Prado feeling 😌
Huwezi pata hiyo feeling hata ukichonga siti kubwa boss... Utapata hiyo hiyo Subaru feeling ila comfort itapungua. Ukitaka Prado feeling jipange vuta Prado.
 
Sasa hapo kwenye matunzo ya gari ndio watu wanapolia napo... Kuna gari hazihitaji gharama kuuubwa kuzitunza kama maana unapozungumzia kutunza gari ni pamoja na kufanta service, kubadili spare kwa wakati nk. Sasa hivyo vitu ndio unakuja kupata gharama halisi ya kui run hiyo gari sasa angalia kwa nissan na toyota..
....na magari ni kama wanawake...
1....Kuna mwanamke gharama zake za nywele, kucha,vocha,vipodozi, kinywaji akipendacho kwa mwezi mzima..akijumlisha gharama unakuta ni mshahara wa mtu fulani...na kuna wanaume wanamgharamikia na hawapigi kelele..[emoji38][emoji38]....
Ingekuwa wanawake hawa ni gari hapa kuna BMW,VW,,Benz,Aud, Nissan, Subaru na mengine meengi..

2....Kuna mwanamke kumgharamia , gharama zake ni za kawaida saana...hana mambo mengi...kuna wanaume wengi wanapenda kundi hili vile halina gharama kubwa..[emoji1][emoji1]....mwanamke ninayemzungumzia hapa angekuwa ni gari basi Ni TOYOTA zile common saana mfano IST, Alion,Premio, Spacio na wenzake weengi

3....Lakini pia usisahaku kuna wale wanawake wanajiuza pale Mrina Arusha,..hata buku tatu unamng'oa tu bao la fasta fasta... shubaamiti..[emoji38][emoji38][emoji28]..Wapenda vya kunyonga wanaponea hapa..
Wanawake hawa hufananishwa na Starlet, Carina, GX 90 mpka 100, Vitz old model za milango 3 na mengine meengi..

Kwa hiyo kila mtu huangukia kundi linaloendana na uwezo wa wallet yake au mapenzi yake..[emoji3][emoji3]

Sasa hawa wanaume wanaoangukia kundi la 2 na 3, kazi yao huwa ni kulia lia tu kuwa kundi namba 1 hapo juu halifai, eti lina gharama kubwa..[emoji38][emoji38]..
Tukae kwa kutulia watu waendeshe magari roho inapenda...bora wallet iwe na pesa za kununua spea pale zinapohitajika..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah labda uchongeshe siti kubwa. Hapa ndipo Subaru walipochemka. Gari ina ground clearance nzuri ila ndani ipo chini sana you don't get that Prado feeling [emoji18]
Ni kama Rav 4 Masawe na Killi time, zile siti zake za nyuma ukikalia unaweza feel umekalia yale mabenchi ya benki wakati unasuburi kuhudumiwa..[emoji31][emoji31][emoji31]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom