Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Nissan ni gari poa sana ikimpamta mtu anayejua namna ya kukaa nayo...

Lakini kwa wale wa oil za kupima kule Buzza, na spea za kichina za kulinganisha kama zinaingia....let them stay away feom Nissans..[emoji28][emoji28][emoji28]

Mtanzania huwezi kumtenganisha na TOYOTA, CCM, Yanga [emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye yanga hebu tutake radhi mkuu
 
Ni kweli mkuu ila hata hao wenye uwezo wa kumiliki wanawake namba 1 kuna muda wanalia lia maana maisha nayo hayo constant muda wote... Nilikuwa nasoma reviews za audi A4 hata wazungu ambao tunawaona hawana shida wanalia nayo na hasa gharama za matengezo ta engine maana ndio tatizo kubwa
Ukishajua maisha ni unpredictable huwezi kujitia matatizoni.😂😂😂
 
Fundi omar juzi kati nilienda kwake kwa shida zingine hlf yeye akanichomekea eti inabidi nitoe thermostat,jicho nililompiga ajarudia tena ujinga wake
Thermostat inahusiana vipi na control box😂😂😂 Fundi Omari alikuwa anataka akupige kunga!
 
Fundi omar juzi kati nilienda kwake kwa shida zingine hlf yeye akanichomekea eti inabidi nitoe thermostat,jicho nililompiga ajarudia tena ujinga wake
Mafundi wetu wanapenda kweli kusema chomoa thermostat... Hata ikijam, hawashauri ununue nyingine utasikia " Chomoa thermostat ile ni kwaajili ya nchi za baridi "
 
Ninayo mwaka wa tatu Sasa, baada ya kushuka kwenye Noah nikaamua nikae humu.
Gari haina usumbufu wowote, mafuta inanusa, iko stable barabarani. Ni tamu Sana, tatizo watanzania ni mabingwa wa matango mwitu
Inategemea na matumizi,kama gari umenuna 98% unaitumia kwenda nayo dukani na kurudi nyumbani lazima haitakuwa na shida kwako.
 
Naombeni uzoefu wenu kwenye hii Subaru Impreza new model
20201105_081357.jpeg
 
Ni kweli mkuu ila hata hao wenye uwezo wa kumiliki wanawake namba 1 kuna muda wanalia lia maana maisha nayo hayo constant muda wote... Nilikuwa nasoma reviews za audi A4 hata wazungu ambao tunawaona hawana shida wanalia nayo na hasa gharama za matengezo ta engine maana ndio tatizo kubwa
Ukisoma reviews mtandaoni hakuna gari isiyo na review mbaya. Zote ni mbaya.

Niliwahi soma review za Jeep Wrangler, Mini Cooper na Nissan Patrol. Unaweza usinunue gari kwa review mbaya vile.
 
Back
Top Bottom