Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Hapo kwenye yanga hebu tutake radhi mkuu
 
Ukishajua maisha ni unpredictable huwezi kujitia matatizoni.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fundi omar juzi kati nilienda kwake kwa shida zingine hlf yeye akanichomekea eti inabidi nitoe thermostat,jicho nililompiga ajarudia tena ujinga wake
Thermostat inahusiana vipi na control boxπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Fundi Omari alikuwa anataka akupige kunga!
 
Fundi omar juzi kati nilienda kwake kwa shida zingine hlf yeye akanichomekea eti inabidi nitoe thermostat,jicho nililompiga ajarudia tena ujinga wake
Mafundi wetu wanapenda kweli kusema chomoa thermostat... Hata ikijam, hawashauri ununue nyingine utasikia " Chomoa thermostat ile ni kwaajili ya nchi za baridi "
 
Ninayo mwaka wa tatu Sasa, baada ya kushuka kwenye Noah nikaamua nikae humu.
Gari haina usumbufu wowote, mafuta inanusa, iko stable barabarani. Ni tamu Sana, tatizo watanzania ni mabingwa wa matango mwitu
Inategemea na matumizi,kama gari umenuna 98% unaitumia kwenda nayo dukani na kurudi nyumbani lazima haitakuwa na shida kwako.
 
Naombeni uzoefu wenu kwenye hii Subaru Impreza new model
 
Ukisoma reviews mtandaoni hakuna gari isiyo na review mbaya. Zote ni mbaya.

Niliwahi soma review za Jeep Wrangler, Mini Cooper na Nissan Patrol. Unaweza usinunue gari kwa review mbaya vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…