Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kiko majini,Unakinunua au ndo kiko majini sahizi 😂😂🙅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiko majini,Unakinunua au ndo kiko majini sahizi 😂😂🙅
Nissan hazina tatizo zaidi ya gharama. Ni gari za gharama kuzitunza hilo ndo tatizo lake. Na watanzania wengi wanataka watreat nissan kama toyota rav 4 old model lazima ikusumbue.Watu hawawezi kuichukia gari bila sababu, lazima kuna jambo.
Kwanini Nissan ina reputation mbaya hapa Tanzania?
Jibu ni kuwa, mara zote Nissan imekuwa ikilinganishwa na Toyota katika suala la maintenance, na sote tunajua Toyota ni more affordable in terms of buying and services.
Mwisho usiwe mwepesi kuamini maoni yoyote positive kuhusu gari fulani kutoka kwa mmiliki wake hapa Tanzania. Kwanini? Bado watanzania hatujawa waungwana kusema ukweli mchungu kuhusu privacy life hususani kwa vile tunavyovimiliki kama gari au mke, tunahisi kama tutachekwa au kubezwa, hivyo tunajihami mnoo kwa uongo.
Hahahah kigari cha Nissan kinataka hela tu. Ukiwa uko njema bank hakitakusumbua, service kwa wakati tu.Kiko majini,
Kabisa boss. Unanunua bei chini gari ila Kinataka kikiua gearbox ununue gearbox kwa bei pungufu kidogo ya bei ya gari.Hahahah kigari cha Nissan kinataka hela tu. Ukiwa uko njema bank hakitakusumbua, service kwa wakati tu.
Gari 6M gearbox 2.5M patamu hapo.Kabisa boss. Unanunua bei chini gari ila Kinataka kikiua gearbox ununue gearbox kwa bei pungufu kidogo ya bei ya gari.
👍NitazingatiaHahahah kigari cha Nissan kinataka hela tu. Ukiwa uko njema bank hakitakusumbua, service kwa wakati tu.
Kabisa. Hapo 2.5m umenunua Tandale iliyovuliwa kwenye gari nyingine.Gari 6M gearbox 2.5M patamu hapo.
Wale majamaa wanapiga hela sana. Aisee mie nina engine ya nissan bluebird sylphy QG18DE na gearbox yake ya N16 nimeivua kwenye gari ya ndugu yangu iliungua moto upande wa nyuma. Ni jino moja tu inawaka. Inafunga kwenye Wingroad, Sunny, Primera na Sentra.Kabisa. Hapo 2.5m umenunua Tandale iliyovuliwa kwenye gari nyingine.
Ukiagiza +V.A.T inakimbilia 3.5m ukimlipa na fundi juma inafika 4m hapo bado fundi juma hajakosea kukuungia nyaya zikapiga shoti control box ikafa inayouzwa dola 250 dubai.
KAMA HUNA PESA ZA KUITUNZA NISSAN NUNUA TOYOTA RAV 4 3S 1998 UTAKUJA KUNISHUKURU.
Nimescreen short hii ntakujulisha.Wale majamaa wanapiga hela sana. Aisee mie nina engine ya nissan bluebird na gearbo QG18DE nimeivua kwenye gari ya ndg yangu iliungua moto upande wa nyuma. Ni jino moja tu inawaka.
Naitaftia mteja kama una contact za jamaa yeyote ambaye atakuwa interested nimuuzie hata kwa bei pungufu maana Ilala inauzwa laki 9 na gearbox yake ni laki 5!
Poa poaNimescreen short hii ntakujulisha.
Hahaa mkuu hapo utakuwa upo kwenye sufuria unamaanisha nini?KAMA PESA ZA KUITUNZA NISSAN HUNA, NIKIMAANISHA OIL YAKE YA GEARBOX LITA MOJA NADHANI 40,000 YA ENGINE 65,000 KAMA HUNA PESA ZA KUNUNUA SENSOR ORIGINAL, KAMA FUNDI WAKO NI FUNDI ANATEMBEA NA TESTA, KAMA UNANUNUA GARI HUKU UKIWAZA KULIUZA MBELENI ACHANA NA NISSAN.
NUNUA TOYOTA TENA TOYOTA RAV 4 3S 1998. UTAKUWA UPO KAMA KWENYE SUFURIA ILA UTAFURAHIA MAISHA. HAZINA GHARAMA, ZINADUMU NA ZINAUZIKA HARAKA.
Hazipo comfortable zile gari esp ukiwa kwenye rough road. Kama imechoka bush na shockups ndo balaa zaidi, zikikita kwenye jiwe hakuna mnepo unasikia mpaka kwenye mishipa yako ya fahamu.Hahaa mkuu hapo utakuwa upo kwenye sufuria unamaanisha nini?
Na hapa ndio wengi wanachemka. Nilimchana ndugu yangu juzi kwenye gari yake Rumion, nikamwambia utauwa gari hiyo. Hiyo oil sio yake.....Nissan Dualis ni CVT ukiweka ATF lazima Gear Box ife
Hii comment itumike kama sehemu ya viambatanishi vya joining instruction pale kwenye chuo cha udereva na ufundi Veta na NIT na kwingineko....Ukweli ni kwamba hakuna gari lisilosumbua hapa Tanzania....mazingira ya barabara mbovu, vipuri feki, elimu duni, mafundi wasio na ujuzi, uchumi mbovu wa mtu binafsi....hizi ni baadhi tu ya sababu zinazofanya kila gari lisumbue...[emoji38]
Hii hoja watu wanayoisemea"ukiitunza vizuri itadumu.."Ni sahihi kabisa....
Barabarani kwa sasa zaidi ya 75% ya magari yametengenezwa mwaka 2005 kwenda mbele.....
Ni gari gani la mwaka 2005 kuja mpaka miaka hii ya leo lisilohiyaji matunzo mazuri..??????
Mnataka kutuaminisha kuwa IST isipotunzwa itadumu, passo isipotunzwa itadumu, Clugger isipotunzwa itadumu, Tako la nyani, crown zisipotunzwa zitadumu eti kisa ni Toyota..?????
haya mambo ni mepesi sana kuyaelewa, tatizo watu wengi wanaongea kuhusu magari kwa akili za ushabiki wa Simba na yanga, Chadma na ccm..[emoji6][emoji38][emoji38][emoji38]
Nakazia Tena, Hakuna gari lililoundwa kuanzia mwaka 2005 na kuendelea lisilohitaji kutunzwa vizuri...
Ukiangalia magari mengi ya miaka hii iwe ni Nissa, Toyota,subaru, Bmw,VW ni mabati laini, alluminium, interior ni plastic bag kwa asilimia kubwa, umeme mwingi, sensors kibao...
Umewahi kujiuliza ni kwa nini wamiliki wa Toyota ndiyo wanaongoza kwa kutafuta gear box na engine used...?[emoji38][emoji38]Kwa sababu ya ile tabia ya mazoea eti Toyota hazichagui oil, ATF zinawekwa za bei rahisi rahisi tu kwa sababu wanajifariji Service ya Toyota ni bei rahisi...
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Fundi omar juzi kati nilienda kwake kwa shida zingine hlf yeye akanichomekea eti inabidi nitoe thermostat,jicho nililompiga ajarudia tena ujinga wake
si unajua watu na ile mentality ya sizitaki mbichi hizi. kumbe hana uwezo wa kumilikiMshazoea Toyota, endeleeni nazo, sio kuleta unafiki kwa nisaan, namiliki nisaani Mwaka wa 5 huu, na wala haina kwere.
Unapeleka Nissan kwa fundi gonga, karithi ufundi Toka kwa mjomba wake. Unategemea nini!?
Ni Kama Dar, Maji ya Kandoro 100 kukojoa 300 [emoji16]Nissan unauziwa bei rahisi ila matunzo aghali sana. Toyota unauziwa bei ghali ila matunzo rahisi