Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

160710174015-27-euro-final-france-portugal-0710-exlarge-169.jpg
 
Kasinde....call my name

Hahahahahhahaaa as are you going to throw bundles of notes to me..... like for lunch....For manicure..... For gasoline.... For boutique hahahhaha

Freeeland. ........

But your avatar.... siwezi kuitazama inaniumiza macho bana.

Italian lady, Kasie.
 
best looser to winner......i love it.....Ureno imenipa funzo fulani katika maisha ya kawaida tu.
Kama mfuatiliaji wa michezo mbalimbali..utakuja kugundua msimu wa mwaka 2015-2016 ulikuwa ni mwaka wa visivyowezekana kuwezekana.Ndoto nyingi zilizimwa na nyingine kuwa kweli.Waliotegemewa walishindwa......
 
ilikua ni bahati ya ureno Mungu alikua kawaandalia hii kitu, kweli Mungu hamuachi mja wake akikuaidi kitu basi na utakipata muda ukifika tuu.
 
Kama mfuatiliaji wa michezo mbalimbali..utakuja kugundua msimu wa mwaka 2015-2016 ulikuwa ni mwaka wa visivyowezekana kuwezekana.Ndoto nyingi zilizimwa na nyingine kuwa kweli.Waliotegemewa walishindwa......
nafwatilia mpira wa miguu..........yani nina furaha tu kwa kweli.....limewezekana kwa Ureno.
 
Back
Top Bottom