Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasinde....call my nameAbeeeh
unakihitaji hiko kijitiHapo ilipoishia sweta na mwanzo wa bukta. .. hapo kati.... pamechomoza mbele. ... kama kijiti vilee. ......😛
best looser to winner......i love it.....Ureno imenipa funzo fulani katika maisha ya kawaida tu.
Kasinde....call my name
Kama mfuatiliaji wa michezo mbalimbali..utakuja kugundua msimu wa mwaka 2015-2016 ulikuwa ni mwaka wa visivyowezekana kuwezekana.Ndoto nyingi zilizimwa na nyingine kuwa kweli.Waliotegemewa walishindwa......best looser to winner......i love it.....Ureno imenipa funzo fulani katika maisha ya kawaida tu.
unakihitaji hiko kijiti
nafwatilia mpira wa miguu..........yani nina furaha tu kwa kweli.....limewezekana kwa Ureno.Kama mfuatiliaji wa michezo mbalimbali..utakuja kugundua msimu wa mwaka 2015-2016 ulikuwa ni mwaka wa visivyowezekana kuwezekana.Ndoto nyingi zilizimwa na nyingine kuwa kweli.Waliotegemewa walishindwa......
kama ipo ipo tuunafwatilia mpira wa miguu..........yani nina furaha tu kwa kweli.....limewezekana kwa Ureno.
hakika,nia+bidii+ushirikiano ni formula ya ajabu..nafwatilia mpira wa miguu..........yani nina furaha tu kwa kweli.....limewezekana kwa Ureno.
ilikua ni bahati ya ureno Mungu alikua kawaandalia hii kitu, kweli Mungu hamuachi mja wake akikuaidi kitu basi na utakipata muda ukifika tuu.