Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

Ni kweli kabisa kwenye paper hawa hawana uwezo wa kubeba kombe, lakini nani aliyeamini England ifungwe na Iceland? Mpira hudunda Mkuu wakiweza kuingia final chochote kinaweza kutokea lakini itakuwa ni miujiza ya soka.

Bado siamin kama ureno watabeba ili kombe mbele ya france au germany
 
Ni kweli kabisa kwenye paper hawa hawana uwezo wa kubeba kombe, lakini nani aliyeamini England ifungwe na Iceland? Mpira hudunda Mkuu wakiweza kuingia final chochote kinaweza kutokea lakini itakuwa ji miujiza ya soka.
Mim niliiamin england na ureno kabla ya michuano ni timu ambazo haziwez fika popote......best looser poor uuu
 
Reactions: BAK
Unachosema ni kweli kabisa, lakini Portugal pia wanaweza kuushangaza Ulimwengu wa soka. Kwenye paper Portugal hawana nafasi hata kiduchu ya kuifunga Germany/France.

Kati ya hizi team,hakuna bingwa kabisa,bingwa atatoka kati ya France na Germany
 
wakuu mpka sasa ngapi , ngapi maana wengine tuko huku mtowisa rukwa hakuna TV inayoonyesha..wote wanatumia star times tu
 
Ronaldo ashaifikia rekod ya Platin kupiga goal 9 michuano ya Euro.
 
Umenikumbusha ,halafu hiyo final nilikuwa team ureno kina Figo,Pauleta,Deco nilisikitika sana walivyofungwa na Greece
Ndo maana nawapa Ureno nafasi mpira wanaocheza Wa Mournho stail unaweza wasaidia
 
Kule mtu anahangaika kupangua kes za ukwepaji kodi huku mtu anazifikia rekod za malijendary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…