Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado siamin kama ureno watabeba ili kombe mbele ya france au germany
Mim niliiamin england na ureno kabla ya michuano ni timu ambazo haziwez fika popote......best looser poor uuuNi kweli kabisa kwenye paper hawa hawana uwezo wa kubeba kombe, lakini nani aliyeamini England ifungwe na Iceland? Mpira hudunda Mkuu wakiweza kuingia final chochote kinaweza kutokea lakini itakuwa ji miujiza ya soka.
Kati ya hizi team,hakuna bingwa kabisa,bingwa atatoka kati ya France na Germany
Maneno ya mkosaji tu hayo, jipange...Hii Portugal si lolote siku ya fainali. Wacha tusubiri tuone
Ronaldo 2 wiles 0 mkuuwakuu mpka sasa ngapi , ngapi maana wengine tuko huku mtowisa rukwa hakuna TV inayoonyesha..wote wanatumia star times tu
duh,kazi imeanza,hope wales wataamka na kurudisha
safi sana ..kila la heri Rinaldo na ureno yako ...Ronaldo 2 wiles 0 mkuu
Best loser leo wameamka,naona wanaelekea kuingia final hivi hivi,ama kweli anaecheka mwisho ndo kacheka sana
Na tutashangaa wamebeba ndooBest loser leo wameamka,naona wanaelekea kuingia final hivi hivi,ama kweli anaecheka mwisho ndo kacheka sana
Inawezekana,as far as wameingia final,leo ndo mechi ya kwanza kushinda ndani ya dakika 90Na tutashangaa wamebeba ndoo
Ureno wanaweza shangaza Dunia kama 2004 ya GreeceInawezekana,as far as wameingia final,leo ndo mechi ya kwanza kushinda ndani ya dakika 90
Umenikumbusha ,halafu hiyo final nilikuwa team ureno kina Figo,Pauleta,Deco nilisikitika sana walivyofungwa na GreeceUreno wanaweza shangaza Dunia kama 2004 ya Greece
Ndo maana nawapa Ureno nafasi mpira wanaocheza Wa Mournho stail unaweza wasaidiaUmenikumbusha ,halafu hiyo final nilikuwa team ureno kina Figo,Pauleta,Deco nilisikitika sana walivyofungwa na Greece