Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

duh,kazi imeanza,hope wales wataamka na kurudisha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bale ajibu laa sivyo anakosa namba Real
 
Nani kafunga goal zuri sana kwa kweli,hapa Wales lazima wachanganyikiwe
 
Wales siyo wapiganaji kama Iceland,naona hapa Ureno wametawala uwanja
 
Bado siamin kama ureno watabeba ili kombe mbele ya france au germany
 
Mmmmmh Portugal wamewachezea poa sana
 
Cr7 jmn timu messi wanayouzuni bana vibaya hivyo
 
Back
Top Bottom