Namkumba kijana alikuw ana itwa Mpenza na mwinge alikuwa anitwa clement cjuiVipi hawa?
Costinha
Abel Xavier
Jorge Andrade
Vitor Baia
Mechi na Ufaransa kwenye Euro 2000 Ubelgiji& Uholanzi waliandaa kama sikosei. ufaransa walipewa penati! Mechi hiyo inaniuma hadi leo![emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sawa mkuu..NimekusomaMkuu nani kakuambia Petit hajulikani sana sema wewe hukumjua huyo katwanga sana pale ureno
Mkuu ww mwana arsenal??Mi nilikwambia mkuu wewe kumkumbuka huyo jamaa ni jembee maana hapa wengi wamekosa idea yake kabsa
Ujue petit alikuwa kama kina carrick ukichek mpira juu juu unadhan hayupoMkuu nani kakuambia Petit hajulikani sana sema wewe hukumjua huyo katwanga sana pale ureno
Hapana kakaMkuu ww mwana arsenal??
Emil mpenza na nduguye yeah miaka ile kipute kilikua kinapigwa bwanaa ukigongwa umegongwa kweliNamkumba kijana alikuw ana itwa Mpenza na mwinge alikuwa anitwa clement cjui
Ubelgiji walitolewa kimagumash kishenz yaan
Mwengine ni Mbo mpenzaEmil mpenza na nduguye yeah miaka ile kipute kilikua kinapigwa bwanaa ukigongwa umegongwa kweli
EeehEmil mpenza na nduguye yeah miaka ile kipute kilikua kinapigwa bwanaa ukigongwa umegongwa kweli
HeheheMwengine ni Mbo mpenza
Nikajua wewe chama langu kumbe mpinzaniHapana kaka
Mimi Man utd wa kudumu
Kuhusu jina nililipenda tuu kama lenyewe
Jamaa alikua anapachimba haswaa akikukuta kakukuta kweli alikua very aggressive na aliweza kukomand panapotakikanaUjue petit alikuwa kama kina carrick ukichek mpira juu juu unadhan hayupo
Ila ngoja atoke sasa uone
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Nikajua wewe chama langu kumbe mpinzani
Mkuu kwa kweli nakuheshimu sanaJamaa alikua anapachimba haswaa akikukuta kakukuta kweli alikua very aggressive na aliweza kukomand panapotakikana
Mimi ndie mshika mtutu mwenzio mkuu tujipange msimu ujao tuchukue ndooNikajua wewe chama langu kumbe mpinzani
AaahMimi ndie mshika mtutu mwenzio mkuu tujipange msimu ujao tuchukue ndoo
Heshima kwako pia mkuu sisi sote niwamoja.Mkuu kwa kweli nakuheshimu sana
Totenham haniwezi..Season iliyopita alipata chance akaichezea watu tukatusua nafasi ya pili. Ila na nyie mmekwama. Morinho anaweza akawaokoa. Hali mbaya,saiv ni mwendo wa ueropa tu hahahaaaaaa[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Si mbaya hata hvo
Mimi mshindani wako, ila wapinzani wako ni tottenham
Na mie ni loserfool
HahahaHeshima kwako pia mkuu sisi sote niwamoja.
Hakuna team pale..Angalau hata Crotia walikua wanajitutumua.
AaaahTotenham haniwezi..Season iliyopita alipata chance akaichezea watu tukatusua nafasi ya pili. Ila na nyie mmekwama. Morinho anaweza akawaokoa. Hali mbaya,saiv ni mwendo wa ueropa tu hahahaaaaaa