Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
Namkumba kijana alikuw ana itwa Mpenza na mwinge alikuwa anitwa clement cjuiVipi hawa?
Costinha
Abel Xavier
Jorge Andrade
Vitor Baia
Mechi na Ufaransa kwenye Euro 2000 Ubelgiji& Uholanzi waliandaa kama sikosei. ufaransa walipewa penati! Mechi hiyo inaniuma hadi leo![emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ubelgiji walitolewa kimagumash kishenz yaan