- Mkulu Halisi, heshima mbele sana najua utakuwepo huko kwenye mkutano hebu mbaneni huyu kibaraka wa mafisadi aseme wazi ni kwa nini mafisadi wa Richimonduli waliotajwa kwenye ripoti iliyopitishwa na bunge kutoka kwenye kamati yake ya Mwakyembe, hajawakamatwa wala kuhojiwa mpaka leo?
- Halafu aeleze nini maoni yake kuhusu the fact kwamba kwenye ile ripoti ya Mwakyembe hata yeye anatakiwa kuwajibishwa na mpaka leo hajawajibishwa kama bunge lilivyomshauri Waziri Mkuu? Kwa nini asijitolee kujiuzulu badala ya kusubiri kuwajibishwa na Waziri Mkuu? Sasa katika hii clout aliyonayo yeye mwenyewe kisheria hiyo moral au authority ya kuwasakama wabunge na posho anaitoa wapi? Ni lini mhalifu akawa ndiye authority ya kutafuta suspects wengine wa sheria ile ile aliyokwisha ivunja?
- Jamani hebu muulizeni haya mazingaombwe yataisha lini na hili taifa, yaani yeye Hosea anatakiwa kuwajibishwa kisheria kwa kuvunja sheria, halafu yeye tena anajaribu kuwatafuta wabunge wanaotuhumiwa kuvunja sheria ile ile, ohhh! this comedy itaisha lini na wapi?
Respect.
FMEs!