Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

unajua sometimes mi napoteza uelewa hapa..kwani hawa wanaopokea posho mara mbili wanaitwaje?au sio mafisadi?na huyu wa kupeleka marisiti ya 2m kwa ajili ya kununua dawa pale namanga pharmacy anaitwaje?

Iam getting tired na hizi issues za mafisadi ni bora tujadili mambo mengine


Hawa si mafisadi bali ni watumiaji wa pesa na wenzao ndiyo mafisadi wana komaa nao
 
Anaweza kuibuka na mpya, au ndio kuendeleza libeneke na watunga sheria ama kujisafisha? Lakini anaweza kuibua upya sakata la mafisadi papa ama kutekeleza amri za mafisadi kutafuta mchawi mwingine baada ya Mwakyembe?

Natumai atawapa nafasi waandishi wa habari wamuulize maswali kama haya. Je, ni kiasi gani cha masurufu ambayo Wabunge wamechukua mara mbili? Mbona hadi hii leo hujawahoji Chenge, Idrissa Rashid, Rostam na wengineo ambao kuna ushahidi wa kutosha kwamba wamehusika na ufisadi? au unasubiri upewe agizo toka Ikulu ili uwahoji kama hili agizo la kuwahoji Wabunge ambalo Pinda alidai lilitoka Ikulu? Na mswali mengine muhimu.
 
- Mkulu Halisi, heshima mbele sana najua utakuwepo huko kwenye mkutano hebu mbaneni huyu kibaraka wa mafisadi aseme wazi ni kwa nini mafisadi wa Richimonduli waliotajwa kwenye ripoti iliyopitishwa na bunge kutoka kwenye kamati yake ya Mwakyembe, hajawakamatwa wala kuhojiwa mpaka leo?

- Halafu aeleze nini maoni yake kuhusu the fact kwamba kwenye ile ripoti ya Mwakyembe hata yeye anatakiwa kuwajibishwa na mpaka leo hajawajibishwa kama bunge lilivyomshauri Waziri Mkuu? Kwa nini asijitolee kujiuzulu badala ya kusubiri kuwajibishwa na Waziri Mkuu? Sasa katika hii clout aliyonayo yeye mwenyewe kisheria hiyo moral au authority ya kuwasakama wabunge na posho anaitoa wapi? Ni lini mhalifu akawa ndiye authority ya kutafuta suspects wengine wa sheria ile ile aliyokwisha ivunja?

- Jamani hebu muulizeni haya mazingaombwe yataisha lini na hili taifa, yaani yeye Hosea anatakiwa kuwajibishwa kisheria kwa kuvunja sheria, halafu yeye tena anajaribu kuwatafuta wabunge wanaotuhumiwa kuvunja sheria ile ile, ohhh! this comedy itaisha lini na wapi?

Respect.

FMEs!
 
Anaweza kuibuka na mpya, au ndio kuendeleza libeneke na watunga sheria ama kujisafisha? Lakini anaweza kuibua upya sakata la mafisadi papa ama kutekeleza amri za mafisadi kutafuta mchawi mwingine baada ya Mwakyembe?

Mkuu,

Kesho sio mbali. Tusubiri kwa kuwa amesema atakutana na waandishi wa habari, bila shaka anataka wananchi/ulimwengu ujue hicho alichonancho moyoni. Wahaya wanamsemo kwamba "Inye nakomolora, iwe wa tiga?"

Tiba
 
Very good move, kesho anajiuzulu kwamba kazi aliyopewa imemshinda. Tunahitaji wawajibikaji kama yeye - ukishindwa kazi waachie wenye ubavu sio kukaa ngangari tu kama vile ni ufalme.
 
anajitengenezea mazingira ya kujiuzulu tu. Angalau ameamua kumtangulia Pinda. Maana akija kichwa kichwa, Bunge litachunguza TAKUKURU.
 
- Mkulu Halisi, heshima mbele sana najua utakuwepo huko kwenye mkutano hebu mbaneni huyu kibaraka wa mafisadi aseme wazi ni kwa nini mafisadi wa Richimonduli waliotajwa kwenye ripoti iliyopitishwa na bunge kutoka kwenye kamati yake ya Mwakyembe, hajawakamatwa wala kuhojiwa mpaka leo?

- Halafu aeleze nini maoni yake kuhusu the fact kwamba kwenye ile ripoti ya Mwakyembe hata yeye anatakiwa kuwajibishwa na mpaka leo hajawajibishwa kama bunge lilivyomshauri Waziri Mkuu? Kwa nini asijitolee kujiuzulu badala ya kusubiri kuwajibishwa na Waziri Mkuu? Sasa katika hii clout aliyonayo yeye mwenyewe kisheria hiyo moral au authority ya kuwasakama wabunge na posho anaitoa wapi? Ni lini mhalifu akawa ndiye authority ya kutafuta suspects wengine wa sheria ile ile aliyokwisha ivunja?

- Jamani hebu muulizeni haya mazingaombwe yataisha lini na hili taifa, yaani yeye Hosea anatakiwa kuwajibishwa kisheria kwa kuvunja sheria, halafu yeye tena anajaribu kuwatafuta wabunge wanaotuhumiwa kuvunja sheria ile ile, ohhh! this comedy itaisha lini na wapi?

Respect.

FMEs!

Mkuu FMES kwanza nimefurahi kukuona tena jukwaani baada ya kukosekana kwa kipndi kutokana na kutingwa na shughuli zako za kila siku. Hiki kizungumkuti kinachoendelea kati ya TAKUKURU na Wabunge kwa kweli kinasikitisha na kutia majonzi ya hali ya juu. Hosea katika kesi zote za mafisadi hajakamilisha hata moja na wala hakuna dalili kama atakamilisha hata moja kabla ya uchaguzi ujao. Sasa leo kwa vile kaamriwa na Rais awachunguze Wabunge waliochukua masurufu mara mbili ambayo si ajabu kiasi cha masurufu hayo hayafiki hata shilingi milioni mia tano kaacha kila kitu na kwenda kuwashupalia Wabunge.

Wakati huo huo mhusika mkuu wa sakata hili la Richmond/Dowans papa fisadi Rostam kakaa pembeni anakula kuku zake kwa kicheko cha kejeli maana anajua anaogopwa hakuna atayethubutu kumgusa. Fisadi Vijisenti Chenge naye anatamba jimboni kwamba hakuna anayemchunguza katika lolote lile kama wapo wanaomchunguza basi wamfuate jimboni kwake (TAKUKURU kimyaaaaa!) Rais wa nchi kimyaaaa (ana chakusema kwenye chochote kinachomuhusu Rostam!?) anajua Rostam ana siri zake nzito za yale yaliyofanyika katika kampeni za 2005 akikosea tu basi Rostam hatakubali kuadhirika pekee yake na hapo ndipo itakuwa patashika nguo kuchanika na nchi kuwaka moto! halafu anataka kugombea tena 2010 ili naye akae madarakani kwa awamu mbili kama wenziye baada ya kuanza mfumo wa vyama vingi ili naye atimize "utamaduni" wa chama chake wa kuachiana kukaa madarakani kwa wamu mbili hata kama kuna ushahidi wa kutosha kwamba huyo aliyekuwa Ikulu ni bomu na kamwe hakustahili kuwa Rais wa Tanzania.

Naomba sana hichi kizungumkuti kiishe haraka ile mambo yenye maslahi makubwa kwa nchi yetu yafanyiwe kazi vinginevyo ndiyo tutazidi kubaki nyuma kimaendeleo wakati majirani zetu wanazidi kusonga mbele. Mungu inusuru Tanzania.
 
Hosea%285%29.jpg

Dr. Edward Hosea.


The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) will issue its stand on the ongoing investigation about legislators who are accused of receiving double allowances amounting to billions of shillings.
Speaking over the phone yesterday, the PCCB Czar Dr. Edward Hosea said, “I am preparing to issue our stand on the matter once I am back in the country…On Monday you will know our position.”

He was responding to a query by The Guardian on Sunday on whether the bureau will succumb to the pressure from a section of lawmakers led by Speaker Samuel Sitta and suspend the ongoing probe or not.

“First of all we haven’t suspended our investigation…As far as I am concerned, the investigation is still going on as scheduled, ” Dr Hosea told The Guardian on Sunday.

“But what you can tell the public is that we shall issue our stand this week about the matter,” he explained.

The PCCB move comes as Speaker Sitta takes a tough stance on the matter, saying the procedures should be followed by those investigating the allegations of the double payments of allowances.

“I have no objection about the ongoing investigation but my stand is that the procedures should be fully followed when handling the matter, ” Sitta was quoted by a local tabloid as saying yesterday.

The Speaker added, “If there’s any employee of this parliament who demanded a bribe, he or she should be dealt with according to law…people should not confuse the public on this matter for their personal gains.”

Prime Minister Mizengo Pinda this week told the parliament that PCCB would continue with its investigation, explaining that it was a directive from the President’s Office, and stressing that nobody was above the law. (with exception to Rostam Aziz, Idrissa Rashid, Vijisenti Chenge, Mkapa, Yona, Manji and all mafisadis)

Early in August this year, The Guardian on Sunday reported exclusively that PCCB was investigating dozens of Members of Parliament accused of receiving double payments in allowances amounting to billions of shillings from various ministries and state-owned corporations.

The allowance scandal comes just four months after the UK’s parliament was rocked by the expense cheating saga that claimed scalps from political parties, including the ruling party.

Following the expense scandal, dozens of MPs resigned after being implicated in the cheating saga. Alarmed by demands of hefty allowances from lawmakers, some permanent secretaries and the chief executive officers of state-owned corporations have complained about the MPs’ behaviour to demand sitting allowances.

It is believed that, the anti-corruption body’s decision to venture into the investigation emanated from the complaints lodged by the ministries, departments, authorities and institutions to the government over double payments to committees’ members.

In his letter with reference No CEB.50/155/05/81 to the PCCB, the National Assembly Clerk Thomas Kashilila requested the anti corruption bureau to investigate among other things the origin of the payments, the MPs who were involved and how to solve the matter.

Apart from the letter, the President’s Office also directed PCCB to investigate whether in demanding double payments of sitting allowances despite being paid by the Parliament, the lawmakers broke the law or not and a senior PCCB official confirmed to this paper that very soon the public would be informed on this matter.


SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
 
Hakika mwaka huu tutaona mengi .Sasa yeye anakimbilia kwa hao jamaa tena ? Bahasha zao kesha andaa ili waandike vyema ama anawaita mkono mtupu wasipo andika na wao wamezoea bahasha atamlaumu nani ?

Nimeipenda sana hii, India ilibidi ianzishe PCCB ya kuwachunguza PCCB kwa kuwa PCCB original kuwa corrupt! na ya pili ikashindwa, ikaja nyingine kuiangalia, na kuendelea........
 
naingiwa na hofu ya kufikiri kuwa bunge karibu litakuwa above sheria ndani ya tanzania.
 
Kupokea posho mara mbili mbili kunadumaza Taifa. Kwanini wasipige kelele? Ni kuogopa kuitwa wapinzani uchwara? Mbona hilo wameshaitwa saaana. Kwanza wao ni wabunge, na issue inahusu wabunge. Kama wabunge wa upinzani lazima wataulizwa na waandishi wa habari ni nini msimamo wao. Wakikaa kimya watapakaziwa wanalindana. Halafu hivi kutafuta mawakala si jukumu la mgombea? Sidhani kama ni busara kumhusisha Katibu Mkuu au Naibu wake. Watafanya mangapi? Hilo ni suala la kurugenzi ya Uchaguzi.

Mimi binafsi wabaya wangu wakigombana nitashabikia ili wauwane wasije hata kuafikiana baadaye. Kama ikishindikana nitachochea mpaka watoane macho hata wakija patana wana makovu ya kudumu. Hapo nitajihesabu nimeshinda.

.
Haya wamehojiwa wamesema na kujipendekeza kuhojiwa yakowapi sasa? je wamepata suluhu. Ya wana CCM waachie wao wenyewe, kwani wao wanajuana. wanandoa wakipigana usiingilie wakipatana kazi kwako. Suala la msingi hapa ni kuwa serikaLI HAINA NIA KUSHUGHULIKIA SUALA HILO LA POSHO. SASA UNAPOKUWA SILIASI NA WATU WENYE MZAHA UNAPOTEZA MUDA WAKO BURE. NI BORA KUKAA KIMYA UWAANGALIE TU.
Haya wanachedema sisi tunawaambia kila siku mtaishia kutumia ndege na kupata kura mbili bila ushindi mkubwa. Nguvu kubwa na mafanikio machache. Hapa mawakala kila mwaka mnatumia mawakala mamruki na wanawauzia ushindi CCM. wenzenu CCM wanajipanga mapema na kutuma vijana machachari chadema, wakija huko wanashangilia na kuitukana CCM kama hawaipendi, halafu mkiwapanga kama mawakala wanauza ushindi. haya endeleeni na ubishi halafu tutaona mtachovuna. Kusema kweli hapo ndipo CCM wanapowamwaga na mnabakia kulalama.
 
.

Tatizo lako wewe mh.ni ushabiki kwa mwakyembe na sio maslahi ya taifa.mwakyembe leo akisema tukojoe barbaran,nafiki uko tayari ku support.ujinga gan huo bwana wewe?
mzee naona unajibu swali gumu kwa jibu rahisi. Naona wewe unawaza mwakyembe tu. Hapa ume overlook nafikiri soma tena hapo juu. Usiwe mvivu wa kusoma na kufikiri pia. Hapo juu hakuna hata jina la mwakyembe. Unaacha maada unaleta ushabiki wa kijinga. Haya bwana nauna we ni kichwa ngumu. Soma tena na ujibu upya
 
Ameanza kuongea, saa 4 asubushi tayari!!!!!!
 
yeah tupatieni nondo za huko mjengoni upanga
 
na kweli anasema hana ugomvi na wabunge, anatekeleza kazi zake na wao wanatekeleza kazi zao ambazo anazikubali kuwa ni nzuri zinamsaidia

ndicho kikubwa kilichomfanya aitishe kikao?
 
Meanwhile kabla ya kesho, I strongly advice PCCB’s chief to seek some divine intervention to save his plumy job and integrity lest he goes down in the dustbin of history as the most lousy and mediocre anti-graft Czar East and Central Africa has ever seen.
 
Back
Top Bottom