Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
hili la Hosea, Bunge na hayo wanayoyagombania
labda anatangaza kujiuzulu
kabla ya jumatano hajasulubiwa
nadhani watarusha kwenye "dira ya dunia"..
Saa ngapi?
Ina maana mkuu hujui Dira ya Dunia-BBC inakuwa saa ngapi???,anyways,ni saa 12 na nusu jioni kwa saa za Afrika Mashariki
mh we acha tu yani mi nikajua ndo tayari kesha tangaza kumbe tusubiri Kesho! kama ni kweli mambo mswano kazi ipo!Mbona unatuchanganya mkuu wangu, kichwa cha mada tofauti na yaliyomo.
..........we acha tu hata mimi nilidhani Daktari ameshang'atuka........Mbona unatuchanganya mkuu wangu, kichwa cha mada tofauti na yaliyomo.
Post yake ni ya saa 10.05pm leo wakati kuna thread humu zinazungumzia mkutano wa Hosea na waandishi umeshaisha na Hosea kasema hajiuzulu ng'o, yeye kang'ang'ania TETESI TETESI!Mbona unatuchanganya mkuu wangu, kichwa cha mada tofauti na yaliyomo.
Si ujua tena wabongo tunapenda kutafuniwa na hata kumezewa!
Kutoka kwa mdau.
Aidha amewataka wabunge ambao wanaona anafanya makosa kuwachinguza, wapige kura ya kutokuwa na imani naye, na yupo tayari kwa lolote litakalotokea, huku akijiganba kuwa TAKUKURU sio mwisho wa maisha yake hata kidogo, "there is life after PCCB" anasema Dr Hoseah-