Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
I dont understand ulichotaka kuwasilisha hapa, nadhani hawajagombana sitta na Hosea, bali kinchogomba hapa ni mitizamo kati ya PCCB na Bunge. Wao kukumbatiana hakuwezi kuondoa misuguano.
then walizungumza, na kilichozungumza utakiona leo usiku kwenye habari za TV na magazetini kesho, kama sio mazungumzo ya siri, kama ni ya siri, basi mtaishia kuona picha za wakikumbatiana.then what...
halafu ameweka pale kwenye board kama breaking news-------what is that
Kuchoka nakubali naweza kuwa nimechoka, yaani mchovu, hili la feelings, sijui za nini, inawezekana fikra zangu zikawa kweli ni ndoto za Abnuwas, maadam JF ni kisima cha fikra, unatoa na wewe hizo fikra zako kukrash hizi ndoto ili tupate altenative school of thoughts.Pasco kweli umechoka na feelings, mi sidhani hivo, hayo ufukiriayo nafikiri ni ndoto za abunuasi
Hivi Hosea ameingiaje kwenye siasa?
Hiii lione kwanza, umelazimishwa kusoma, kama toto vilengoja nihame thread, hii huyu jama Pasco anakera na mawazo yake
Kitwa kuhojiwa na Takukuru ni kama samansi ya mahakamani, wanawekaga appointiment?.Hivi unaweza kumuita Spika au huyo Mwakyembe bila kufanya appointment naye?? inamaana aache shughuli za Bunge kwanza aende huko TAKUKURU?? Hivi ni kipi chenye uharaka kwanza kuendesha Bunge ambalo limeshajipangia ratiba yake kabla au TAKUKURU??
Viongozi hawa mara nyingi huwa na mengi ya kuongea "behind the scenes".
Utashangaa baadae hata kama atafukuzwa kazi atapewa ubunge wa kuteuliwa au kutafutiwa ukuu wa wilaya au jimbo kabisa.
PCCB inatakiwa ihamishiwe kwenye ofisi ya Wizara ya mambo ya ndani kutoka Ikulu ilipo sasa.
Ikiwa chini ya home affairs basi waziri husika atawawajibisha hawa wakurugenzi wakuu bila kuomba ushauri wa baraza la mawaziri.
Wanafanya kile kitu kinaitwa, KUPINGANA BILA KUPIGANA.