Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Na Kama Hakuja kwa mahojiano, amekuja kutembeza ubabe wa kuwaogofya wabunge wakati wa majadiliano ya hoja ya Richmond hapo kesho, atakaa speakers galery na kusikiliza ni wabunge gani wanajidai vidume, kulazimisha yeye awajibishwe wakati kwenye sakata la Richmond, yeye hakuona rushwa, and infact hakuna rushwa yoyote ndio maana hakuna kesi yoyote ya rushwa kwa mhusika yoyote, kama ilivyo kwa rada, ndege ya rais, etc. Rushwa ni zile za Trafic kupiga bao madaladala.