Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI.

Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum)

Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/=

-Mwezi April ilikuwa balaa.

Tarehe 08/04/2021 Shilingi 44,500,000/=

Tarehe 13/04/2021 Shilingi 155,295,000/=

-Tarehe 30 April nayo ilikuwa balaa

Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,900,000/= (kuandaa mpango wa kuhifadhi mazingira)

Tarehe 30/04/2021 Shilingi 14,400,000/=
(siku ya wanawake)

Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,000,000/=

Mei mosi siku ambayo sio ya kazi.

Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi asubuhi Shilingi 184,100,000/=

Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi Mchana Shilingi 264,000,000/=

Tarehe 03/05/2021 Shilingi 146,500,000/=
(Kuandika mpango Kazi wa manunuzi watu 125 😀)

Siku hiyo hiyo tena Shilingi 171,200,000/=(kuandaa nyaraka za bunge)

#WeMissYouJPM.
#Tunakukumbuka JPM.
 
Acheni tu unafiki uso na tija.Unajitokeza kusifia kwa vile naona data zipo peupe.Enzi ya shujaa nani angedieiki kuonyesha wazi kitu kama hiki?Ripoti ya CAG iliyotolewa juzi juzi ukaonyesha mabilioni yaliyopigwa enzo za shujaa mbona hamkushadadia? Acheni uzandiki.Enzi za kuelekea faida tu zimeondoka na mwendazake Bob.What a sycomphancy.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Yamepigwa leta ushahidi zile ni hasara
 
Kwani huyo dhalimu magufuli naye hakuwa mwizi? Mbona yeye kaliibia Taifa hili kuliko mtu mwingine yeyote? Eti we miss you JPM!!! Nenda kaburini kwake ukamuone.
 
riport ya CAG aliyoitoa kuhusu kupigwa kwa pesa enzi za hayati makufuli hiyo riport ni fake tena fake ni riport ya kupoteza umaarufu wa makufuli
 
Hii kitu kwenye ofisi za umma ni "tradition & daily culture". Sema hawa wa MoF wamezinguana na kuchomana wenyewe kwa wenyewe...

Hii kitu ukienda kukagua hata Ikulu utakuta balaa zaidi ya hili, hiki ni cha mtoto...

Umewahi kuona wapi Rais anaamuru Tshs 1.5 au 2.5 Trillion zitoke benki na zipelekwe ofisi ya Rais eti kwa " kazi maalumu..??". Basi kama hamjui, Rais Magufuli aliiba kwa njia hii...

Ukienda Bungeni kwa Spika Ndugai ndo balaa kabisa, mtu anaweza kutetemeka hatari. Umewahi kuona wapi Spika anatumia Bilioni karibu 30 kwa matibabu yake..?

Kama hamjui, basi Spika Ndugai ameshawahi kutumia hela kama hii eti anaumwa, akatibiwa..!!

Ukienda kwa PM, TAMISEMI ni hatari, mtu anaweza kulia mpaka awehuke kwa kilio namna watu wanavyopiga hela za wanyonge bila huruma...

Nyie acheni kabisa. Hiki ni cha Mtoto...
 
Yamepigwa leta ushahidi zile ni hasara
Rudi ukaisome utajua ni maeneo gani zilikuwa zinachotwa tu, mfano, pale wizara ya maliasili watu walisaini mamilioni ya kupandia mlima na utangazaji fake wa utalii, Tasac watu walikuwa wanajilipa mamilioni ya kikao kila siku nk.Acha tu ndg yangu.Shukuru nyakati hizi takwimu zinaonekana.Hayo yamepita ya kusifia bila sababu za msingi.Ungana na wazalendo tumpe nguvu mama.Taifa linarudisha heshima yake.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Umeanza vizuri mwishoni ukaharibu!

Unayemkumbuka umesahau hadi kaondoka hazijulikani Trillioni 1.5 za 'wanyonge' zilikwenda wapi zaidi ya CAG kufurushwa?

CCM kuna ufisadi no doubt! Ila je ufisadi kiasi gani ulitokea chini ya awamu ya 5 na haukumulikwa!

Jibu ni kuwa hakukuwa na uhuru wa habari kabisa wachache sana wangepata uwezo wa kujua hayo....

Kwani zile pesa zilizipotea kwenye issue ya Kangi Lugola na Andengenye , pia Kigwangalla zilipotea awamu ya ngapi?
 
Kwani huyo dhalimu magufuli naye hakuwa mwizi? Mbona yeye kaliibia Taifa hili kuliko mtu mwingine yeyote? Eti we miss you JPM!!! Nenda kaburini kwake ukamuone.
Ndugu yangu waumini wa dhalimu Magufuli nawafananisha tu na wale wa Trump wa Marekani, huwaambii kitu! Si ajabu bado wanaamini atafufuka tu kama wale wa Trump wanavyoendelea kuamini atakuja tu kuapishwa awe Rais pamoja na hilo kutowezekana kwa namna yoyote ile... kweli ukipenda chongo utaita kengeza.
 
Acheni tu unafiki uso na tija.Unajitokeza kusifia kwa vile naona data zipo peupe.Enzi ya shujaa nani angedieiki kuonyesha wazi kitu kama hiki?Ripoti ya CAG iliyotolewa juzi juzi ukaonyesha mabilioni yaliyopigwa enzo za shujaa mbona hamkushadadia? Acheni uzandiki.Enzi za kuelekea faida tu zimeondoka na mwendazake Bob.What a sycomphancy.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
CAG yupi unayemuamini kuwa ni msema kweli?
Hoja ni je, kama hizo taarifa ndivyo zilivyo, ni sahihi mambo kufanyika hivyo? Makosa mawili hayafanyi hali kuwa sawa. Mtaendelea mpaka lini kuharibu kwa kusingizia yaliyopita? Eti kwasababu Mkwere aliiba, basi ni sawa Mmatumbi kudokoa, ndo mwisho wa fikra zetu kweli?

CAG wa Mkwere aliponda ya Msukuma, Msukuma hayupo, CAG anabembeleza nafasi yake ingawa enzi za msukuma hata kutishia kujiuzulu tu hakuthubutu ili kutuambia kuwa yanayoendelea enzi hizo hayakufaa, leo anazungumza kila mtu anashupaza shingo, kama alivyojipendekeza kwa Msukuma, anajipendekeza kw Muunguja.
 
Jambo la kushukuru angalau leo watanzania wako huru kuongelea ufisadi serikalini.
Awamu ya 5 tusingepata nafasi kusikia ufisadi, maana milango ya taarifa za serikali ilifungwa, hali hiyo imetufanya tuamini serikali hiyo ilikuwa ya kimalaika.
Kitu muhimu ni uhuru wetu, uhuru ndiyo unaotupa nafasi kujua kinachotendeka serikalini na baadaye kujadiliana kwenye majukwaa huru kama haya.
 
Back
Top Bottom