Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Unasema kweli kabisa waache na wao wafaidi , nchi iwe na furaha.Acheni tu unafiki uso na tija.Unajitokeza kusifia kwa vile naona data zipo peupe.Enzi ya shujaa nani angedieiki kuonyesha wazi kitu kama hiki?Ripoti ya CAG iliyotolewa juzi juzi ukaonyesha mabilioni yaliyopigwa enzo za shujaa mbona hamkushadadia? Acheni uzandiki.Enzi za kuelekea faida tu zimeondoka na mwendazake Bob.What a sycomphancy.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kila wizara iongeze kupiga ndio mwendo wenyewe.
Imechosha Magufuli alikuwa anazuia pesa kwani ni za kwake ?.
WATANZANIA HATUJUI TUNATAKA NINI.