Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

Unasema kweli kabisa waache na wao wafaidi , nchi iwe na furaha.
Kila wizara iongeze kupiga ndio mwendo wenyewe.

Imechosha Magufuli alikuwa anazuia pesa kwani ni za kwake ?.

WATANZANIA HATUJUI TUNATAKA NINI.
 
riport ya CAG aliyoitoa kuhusu kupigwa kwa pesa enzi za hayati makufuli hiyo riport ni fake tena fake ni riport ya kupoteza umaarufu wa makufuli
Uandishi wako tu inaonyesha huna uwezo wa kutambua nzuri au baya.Ningeshangaa kama ungesema kwamba report ya CAG ilikuwa ya kweli.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wewe unashangaa 1B? Mwendazake alipiga 1.5T kwa kifupi jamaa alipiga zaidi ya mara 1000 ya ulichokiandika na bado MATAGA wakamtetea
 
riport ya CAG aliyoitoa kuhusu kupigwa kwa pesa enzi za hayati makufuli hiyo riport ni fake tena fake ni riport ya kupoteza umaarufu wa makufuli
Aisee, Tanzania kama nchi bado tuna kazi ndefu sana. Acheni wazungu waendelee kututawala tu kmmk. Hivi uliingiaje humu JF? Kwa nini usingeishia huko huko fb na mataahira wenzio?

Wazazi nawashauri pindi watafutapo watoto wasitumie bangi au gongo ili mtoto atakaezaliwa awe na akili timamu. Oneni hili nanga sasa.
 
Watu wanahangaika naviposho vya watumishi wakati mapesa mabilioni kwamabilioni yanafujwa .

Baada ya Ripoti ya CAG hatua gani zimechukuliwa?
 
Haya madudu ndiyo yanayowafanya waandike kwamba sasa hivi wana furaha zamani hawakuwa na furaha.

Lakini sauti ya Majaliwa ina mamlaka ndani yake ndiyo maana wako bize kumfundisha rais Samia kuwa amtoe kwenye uwaziri mkuu kwa sababu eti ni masalia ya JPM!

Kwani SAMIA ni masalia ya nani?
 
Ngekua enzi ya yohana upigwaji huu tungeusikia kwenye bomba ,shukuru mama kawasha taa (vyombo vya habari)
 
Nachokiona hapa waliokwapua hayo mamilioni wanajitetea
 
Miaka 6 watu hawana nyongeza mshahara. Usipompa mtu haki yake, ana buni pa kutokea. Natamani na Ndungai akakaguliwe, mtashangaa.
 
Kwani huyo dhalimu magufuli naye hakuwa mwizi? Mbona yeye kaliibia Taifa hili kuliko mtu mwingine yeyote? Eti we miss you JPM!!! Nenda kaburini kwake ukamuone.
Afrika,Wakimbizi sisi,wazamiaji sisi,wapenda ngono sisi,uchawi sis,wapenda vya ulaya sisi,wapenda uchafu sisi,wakosa Cha kufanya sisi,tunapewa siku 365 lakini kinachofanyika Ni sawa na watu huko alaska.
 
Unasema kweli kabisa waache na wao wafaidi , nchi iwe na furaha.
Kila wizara iongeze kupiga ndio mwendo wenyewe.

Imechosha Magufuli alikuwa anazuia pesa kwani ni za kwake ?.

WATANZANIA HATUJUI TUNATAKA NINI.
Pia,wasipoiba watoto wa wanyonge wataiba mafisadi,Bora watu wa Kati huenda watajenga,sio hawa wanaokwenda kuficha huko ulaya.
 
Hawa wahuni wanaojifanya Viongozi wanatuangusha sana ni bora tu Wazungu warudi kuja kuiendeleza Africa. Chama kiko madarakani miaka 60 na bado kinajiita chama cha Wanyonge!!! Serikali ya wanyonge!!! Miaka 60 wamefanya lipi ili kuhakikisha hakuna Mtanzania hata mmoja anayekuwa mnyonge nchini kwake?
Afrika,Wakimbizi sisi,wazamiaji sisi,wapenda ngono sisi,uchawi sis,wapenda vya ulaya sisi,wapenda uchafu sisi,wakosa Cha kufanya sisi,tunapewa siku 365 lakini kinachofanyika Ni sawa na watu huko alaska.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…