Baada ya Aids, Covid 19 nadhani kuna jipya litaibuka very soonHawa wahuni wanaojifanya Viongozi wanatuangusha sana ni bora tu Wazungu warudi kuja kuiendeleza Africa. Chama kiko madarakani miaka 60 na bado kinajiita chama cha Wanyonge!!! Serikali ya wanyonge!!! Miaka 60 wamefanya lipi ili kuhakikisha hakuna Mtanzania hata mmoja anayekuwa mnyonge nchini kwake?
Hapana hakuna cha ku miss Jiwe. acha waibe kuliko katili Jiwe kurudi. Uhuru ni muhimu kuliko pesa. Wacha waibe as long as we are free persons#WeMissYouJPM.
#Tunakukumbuka JPM.
huu ni ubadhirifu wa fedha za walipa kodi. kamwe usivumiliwe.POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI.
Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum)
Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/=
-Mwezi April ilikuwa balaa.
Tarehe 08/04/2021 Shilingi 44,500,000/=
Tarehe 13/04/2021 Shilingi 155,295,000/=
-Tarehe 30 April nayo ilikuwa balaa
Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,900,000/= (kuandaa mpango wa kuhifadhi mazingira)
Tarehe 30/04/2021 Shilingi 14,400,000/=
(siku ya wanawake)
Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,000,000/=
Mei mosi siku ambayo sio ya kazi.
Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi asubuhi Shilingi 184,100,000/=
Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi Mchana Shilingi 264,000,000/=
Tarehe 03/05/2021 Shilingi 146,500,000/=
(Kuandika mpango Kazi wa manunuzi watu 125 [emoji3])
Siku hiyo hiyo tena Shilingi 171,200,000/=(kuandaa nyaraka za bunge)
#WeMissYouJPM.
#Tunakukumbuka JPM.
Mkuu ndiyo namna ya kuruhusu mzunguko wa pesa mtaani, maza kaamua kuachia fedha zije mtaani sababu hawa watu watanunua cement, bia, nguo, magari, kulipa mafundi n.kHawa ndo walikuwa wanasema bila shaka nchi haina furaha na kwa namna hii furaha imerudi ,na inaonyesha walikuwa na kiu balaa yaani hawakusubir hata shughuli za msiba zipoe
Alafu unakuta ni mkusanyiko wa posho za muda mrefu zimelipwa kwa pamoja baada ya fedha kupatikana hakuna cha ajabuMajitu ni majinga Sana na yanatafuta kiki yaani ukiangalia mgawanyo wa hizo posho kwa idadi ya watu unakuta ni posho za wastani wa mil.2 au 3..Sasa hizi si posho za kawaida tuu huku maofisini kwa mtu amefanya Kazi mwezi
Maofisa wengi wa ngazi za Juu Wana pesa ya knight au extra duty kubwa.
Kama hizo pesa ni nyingi hebu waangalie kipindi marehemu yuko madarakani.Kwa taarifa yenu kipindi cha mwendazake unaweza piga pesa na asiwepo wa kutoa taarifa kwa sababu ya hofu ya kutojuana.
Saizi kwa vile ile hofu uchwara haipo ndio uropokaji umekuwa mkubwa,mwezi wa 12 2020 kwa mfano niliwahi lipwa posho zinazofikia mil.2 kwa Kazi Halali kabisa sasa nashangaa watu mnavyotoa povu kwa posho,tena sikuhizi pesa inalipwa kutoka huko huko BOT.
Huo wizi unakujaje kwa staili hiyo? Labda ufute posho.Mtu anasema eti unalipwa posho kwa Kazi unazotakiwa kufanya sasa nini maana ya extra duty au per diem? Kwani hao wanasiasa hawalipwi hizo ?
Kiki zisizokuwa na maana
Kama walikuwa walikuwa wanaendesha shughuli kwa hasara kwanini walikuwa wanapeleka gawio kwa serikali na kujisifu wanaingiza faida ,yule kichaa alikuwa fisadi balaqYamepigwa leta ushahidi zile ni hasara
sidhani uko sahihi sana lkn kinachoonekana hata baada ya JPM kufariki kasi ya majizi nayo imeanza kurudi kwa kasi kubwa.hao waliotuhumiwa kufanya malipo haya ingekuwa ni kipindi cha JPM sidhani wangesimamishwa bali wangefukuzwa na mali zao kutaifishwa.hizo ni pesa nyingi za walipa kodi haziwezi tu kuchezewa hivyo.watumishi wanaambiwa hawawezi kupandishwa vyeo sababu hakuna pesa lkn wajanja wachache wanafuja pesa ya walipa kodi kipuuzipuuzi tu.hapana hawa watu ingekuwa kama nchi za wenzetu kama china walipaswa kupigwa risasi hadharani.kwa kweli nchi hii baadhi ya watumishi wamekosa maadili kabisaa,ni wabinafsi ambao wanajali matumbo yao pamoja na familia zao.hatuwezi kukubali mambo haya yaache hivyo ni lazima serikali iwe makini na hatua kali za kisheria zichukuliwe.Acheni tu unafiki uso na tija.Unajitokeza kusifia kwa vile naona data zipo peupe.Enzi ya shujaa nani angedieiki kuonyesha wazi kitu kama hiki?Ripoti ya CAG iliyotolewa juzi juzi ukaonyesha mabilioni yaliyopigwa enzo za shujaa mbona hamkushadadia? Acheni uzandiki.Enzi za kuelekea faida tu zimeondoka na mwendazake Bob.What a sycomphancy.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
hivi hata kama ni wewe ungeiba kipindi cha JPM?Jambo la kushukuru angalau leo watanzania wako huru kuongelea ufisadi serikalini.
Awamu ya 5 tusingepata nafasi kusikia ufisadi, maana milango ya taarifa za serikali ilifungwa, hali hiyo imetufanya tuamini serikali hiyo ilikuwa ya kimalaika.
Kitu muhimu ni uhuru wetu, uhuru ndiyo unaotupa nafasi kujua kinachotendeka serikalini na baadaye kujadiliana kwenye majukwaa huru kama haya.
acha uhuni lete ushahidi. mnatafuta pakutokea sasaMajitu ni majinga Sana na yanatafuta kiki yaani ukiangalia mgawanyo wa hizo posho kwa idadi ya watu unakuta ni posho za wastani wa mil.2 au 3..Sasa hizi si posho za kawaida tuu huku maofisini kwa mtu amefanya Kazi mwezi
Maofisa wengi wa ngazi za Juu Wana pesa ya knight au extra duty kubwa.
Kama hizo pesa ni nyingi hebu waangalie kipindi marehemu yuko madarakani.Kwa taarifa yenu kipindi cha mwendazake unaweza piga pesa na asiwepo wa kutoa taarifa kwa sababu ya hofu ya kutojuana.
Saizi kwa vile ile hofu uchwara haipo ndio uropokaji umekuwa mkubwa,mwezi wa 12 2020 kwa mfano niliwahi lipwa posho zinazofikia mil.2 kwa Kazi Halali kabisa sasa nashangaa watu mnavyotoa povu kwa posho,tena sikuhizi pesa inalipwa kutoka huko huko BOT.
Huo wizi unakujaje kwa staili hiyo? Labda ufute posho.Mtu anasema eti unalipwa posho kwa Kazi unazotakiwa kufanya sasa nini maana ya extra duty au per diem? Kwani hao wanasiasa hawalipwi hizo ?
Kiki zisizokuwa na maana
kwa hiyo nichukue vocha za malipo yangu nikupe wewe hapa,una akili timamu kweliacha uhuni lete ushahidi. mnatafuta pakutokea sasa