Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Labda jeshi la wokovuJeshi lenyewe linampenda Netanyahu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda jeshi la wokovuJeshi lenyewe linampenda Netanyahu
Fake newsPOSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL
Hal Turner World November 06, 2024
![]()
Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel!
Thousands of Israeli troops, in uniform are marching toward Prime Minister Benjamin Netanyahu's location and word on the street (UNCONFIRMED) is that they intend to throw him out, after he fired Defense Minister Yoav Gallant.
This is a fast developing story and it is tough to get factual information, but I will update below as information becomes available.
Baada ya kipigo dhidi ya magaidi kukolea wafuasi wa muddy wanatamani kila baya litokee kwa Israel.Ukitaka kuamin wafuasi wa mwamedi wana akili finyu basi we pitia comments kwny hiz fake news uone wanavo tamani visivo wezekana viwezekane 🤣🤣🤣
Proved read between the lines, the title reads,possible military coup,so it is not a confirmation,it could be true or not true.So how does it become fake news again.Ninge-confirm kwamba kuna coup hapo ndio ingekuwa fake news.Fake news
Ni suala la muda tuuuuUnaelewana Vipi na mtu aliyekuja kuvamia, kuua, kuchoma nyumba, kukamata na kuchukua raia mateka kibabe tar.7 0ct 2023?? Hiyo haikubaliki.
Mtu mwenye utimamu wa akili hawezi abudia sanamuUkitaka kuamin wafuasi wa mwamedi wana akili finyu basi we pitia comments kwny hiz fake news uone wanavo tamani visivo wezekana viwezekane 🤣🤣🤣
Hahahah watu mna vituko!Taarifa hii nimeipata from a CIA insider.Unajuaje kama sio a mass military uprising.Tusubiri, mbona tutapata mbichi na mbivu.
Huyu waziri ameshaawahi kuwa mwanajaeshi kwanza kipindi cha karibuni na wanamulewa na anajua ugumu wa vita sio Netanyahu alipigana kipindi cha old stonageSababu yenyewe ni ya kipuuzi mno eti wanajeshi waandamane kisa kuenguliwa kwa waziri wa ulinzi?? 😂
Demokrasia ipi iliyopo huko Israel wakati kuna ubaguzi wa dhehebu la Ultra Orthodox linanyimwa fursa na haki ya kujiunga na jeshi la Israel wakati ni raia halali wa Israel?Mapinduzi hufanyika zaidi kwenye banana republics zisizo na demokrasia iliyopevuka.
Hivyo, hilo kwa sasa haliwezi kutokea Israel.
Israel ina uchumi mzuri. Hakuna kabisa sababu ingine yoyote ile ya kufanya mapinduzi ya kijeshi ilhali taasisi za kidemokrasia zipo na zinafanya kazi vizuri.
Netanyahu anaweza kuondolewa madarakani kupitia taratibu zilizopo kikatiba na kisheria.
Naliamini jeshi la Israel. Ni taasisi inayoendeshwa kwa akili, siyo kama JWTZ ilivyosheheni vilaza 🤣 kuanzia juu, katikati, pembeni, mpaka chini.
IDF haiwezi kabisa ku risk jambo kama hilo huku wakijua nchi yao imezungukwa na mahasimu kila kona.
Mwanaume una jiita Utamu/delicious sasa una tofauti gani wewe na James wa kinondoni ?Mtu mwenye utimamu wa akili hawezi abudia sanamu
POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL
Hal Turner World November 06, 2024
![]()
Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel!
Thousands of Israeli troops, in uniform are marching toward Prime Minister Benjamin Netanyahu's location and word on the street (UNCONFIRMED) is that they intend to throw him out, after he fired Defense Minister Yoav Gallant.
This is a fast developing story and it is tough to get factual information, but I will update below as information becomes available.
Hizbullah walirusha makombora fateh 112 jana na yalitua parking ya ben gurion airport, israel nao leo wamejibu wamepiga pembeni kidogo ya runway ya beirut airportHayo hata angekuta watu wapo kwenye maombi ya njia ya msalaba au maandamano ya Echarist angeleta hapa kudai ni mapinduzi.
Kuna mwingine alileta video jana akidai ni mashambulizi makubwa yaliyofanyika Tel Aviv hiyo jana, kumbe kaenda mtandaoni akalishwa AI genereted video
Wewe jamaa wahi hospitali au tafuta counsellor.Impossible!
Lakini, Gallant wanampendea nini? Mbona taharuki imekuwa kubwa? Niliona kwenye taarifa ya habari hadi wananchi waliandamana japo kwa uchache.
Aisee embu tuliza kichwa na usome kwa umakini.Hakuna nilichodanganya.
Israel ina uchumi mzuri. Takwimu hazidanganyi.
Marekani ina uchumi mzuri. Kuwa na uchumi mzuri haimaanishi huo uchumi hauwezi kuyumba.
Kuyumba ni sehemu ya kawaida ya mzunguko wa uchumi.
Inflation Marekani bado ipo. Bei za bidhaa bado ziko juu.
Jobs report ya October haikuwa nzuri.
Hakika huwezi kuja hapa na kuniambia eti Marekani haina uchumi mzuri kisa tu baadhi ya takwimu si za juu/ chini.
Kitendo cha askari kuamua kupora madaraka hata bila kubeba silaha hilo tayari ni mapinduzi ya kijeshi.Mapinduzi ya bila silaha ni mapinduzi ya kisiasa, lakini mapinduzi ya kijeshi ni lazima silaha ziwemo mikononi.
Kufyatua ama kufyatuliana risasi ni jambo jingine, maana kubeba bunduki hakulazimishi kufyatua risasi.
Basi sawa. Israel ni nchi ya dunia ya tatu.Aisee embu tuliza kichwa na usome kwa umakini.
Israel haina uchumi imara kwa sasa.
Ndio maana ilidiriki hata kupunguza askari vitani ili iweze ku balance bajeti ya vita.
Mapato yao yalishuka ikiwemo ya bandari kwasababu bandari moja ilikua haifanyi kazi ipasavyo ile ya Eilat kwa kukosekana meli zipitazo red sea.
Biashara nyingi zilifungwa kwasababu ya vita na wawekezaji wengi waliondoka kwasababu ya vita.
Naandika kwa msisitizo unielewe kaka kilichoiokoa ISRAEL kiuchumi isianguke moja kwa moja ni UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS FROM USA AND UK.
Israel sasa hivi imekua na dependent economy kwa USA.
Sasa hivi Israel ina uchumi tegemezi kwa USA,pasi na USA kumpa tafu huyu myahudi ungeona Israel watu wakisafa kama Gaza.
UKitaka takwimu na ripoti nakuletea acha ubishi usio na tija.
Uchumi wa Israel ulikua unaenda kwenye anguko la moja kwa moja sio kutikisika bali kuanguka kabisa.
Una shida ya uelewa bro.Basi sawa. Israel ni nchi ya dunia ya tatu.
Inazidiwa kiuchumi na Somalia.
Wakikukamata wakakubaltazar usije kulaumu kuwa Wana jf hawakukupa msaada wowote.Kusema ukweli si kutukana.
Jeshi la Tanzania limejaa vilaza.