Possible military coup in Israel

Possible military coup in Israel

POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL​

Hal Turner World November 06, 2024
********** FLASH ********** POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL

Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel!
Thousands of Israeli troops, in uniform are marching toward Prime Minister Benjamin Netanyahu's location and word on the street (UNCONFIRMED) is that they intend to throw him out, after he fired Defense Minister Yoav Gallant.
This is a fast developing story and it is tough to get factual information, but I will update below as information becomes available.
Fake news
 
Ukitaka kuamin wafuasi wa mwamedi wana akili finyu basi we pitia comments kwny hiz fake news uone wanavo tamani visivo wezekana viwezekane 🤣🤣🤣
Baada ya kipigo dhidi ya magaidi kukolea wafuasi wa muddy wanatamani kila baya litokee kwa Israel.
Chuki imewakaba kooni
 
Fake news
Proved read between the lines, the title reads,possible military coup,so it is not a confirmation,it could be true or not true.So how does it become fake news again.Ninge-confirm kwamba kuna coup hapo ndio ingekuwa fake news.
 
Sababu yenyewe ni ya kipuuzi mno eti wanajeshi waandamane kisa kuenguliwa kwa waziri wa ulinzi?? 😂
Huyu waziri ameshaawahi kuwa mwanajaeshi kwanza kipindi cha karibuni na wanamulewa na anajua ugumu wa vita sio Netanyahu alipigana kipindi cha old stonage
 
Mapinduzi hufanyika zaidi kwenye banana republics zisizo na demokrasia iliyopevuka.

Hivyo, hilo kwa sasa haliwezi kutokea Israel.

Israel ina uchumi mzuri. Hakuna kabisa sababu ingine yoyote ile ya kufanya mapinduzi ya kijeshi ilhali taasisi za kidemokrasia zipo na zinafanya kazi vizuri.

Netanyahu anaweza kuondolewa madarakani kupitia taratibu zilizopo kikatiba na kisheria.

Naliamini jeshi la Israel. Ni taasisi inayoendeshwa kwa akili, siyo kama JWTZ ilivyosheheni vilaza 🤣 kuanzia juu, katikati, pembeni, mpaka chini.

IDF haiwezi kabisa ku risk jambo kama hilo huku wakijua nchi yao imezungukwa na mahasimu kila kona.
Demokrasia ipi iliyopo huko Israel wakati kuna ubaguzi wa dhehebu la Ultra Orthodox linanyimwa fursa na haki ya kujiunga na jeshi la Israel wakati ni raia halali wa Israel?

Demokrasia ni pamoja na kuruhusu jamii zote kushiriki katika masuala ya kitaifa kwa usawa pasipo kutengwa kwa watu fulani.
 
POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL​

Hal Turner World November 06, 2024
********** FLASH ********** POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL

Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel!
Thousands of Israeli troops, in uniform are marching toward Prime Minister Benjamin Netanyahu's location and word on the street (UNCONFIRMED) is that they intend to throw him out, after he fired Defense Minister Yoav Gallant.
This is a fast developing story and it is tough to get factual information, but I will update below as information becomes available.

Nyie watu wenye D moja au mbili mna tatizo sana katika mitandao, maana hamjui lolote, habari ya ukweli au uongo ni ipi, yaani you are just copying and paste, totally hopeless, sbb IQ yenu ni zero tupu

Hao maaskari wa Israel walikuwa wanawaondoa waandamanaji wa Kiisrael na sio IDF wanaandamana
 
Hayo hata angekuta watu wapo kwenye maombi ya njia ya msalaba au maandamano ya Echarist angeleta hapa kudai ni mapinduzi.

Kuna mwingine alileta video jana akidai ni mashambulizi makubwa yaliyofanyika Tel Aviv hiyo jana, kumbe kaenda mtandaoni akalishwa AI genereted video
Hizbullah walirusha makombora fateh 112 jana na yalitua parking ya ben gurion airport, israel nao leo wamejibu wamepiga pembeni kidogo ya runway ya beirut airport
 
Impossible!

Lakini, Gallant wanampendea nini? Mbona taharuki imekuwa kubwa? Niliona kwenye taarifa ya habari hadi wananchi waliandamana japo kwa uchache.
Wewe jamaa wahi hospitali au tafuta counsellor.
Hiyo hali uliyo nayo siyo ya kawaida
 
Hakuna nilichodanganya.

Israel ina uchumi mzuri. Takwimu hazidanganyi.

Marekani ina uchumi mzuri. Kuwa na uchumi mzuri haimaanishi huo uchumi hauwezi kuyumba.

Kuyumba ni sehemu ya kawaida ya mzunguko wa uchumi.

Inflation Marekani bado ipo. Bei za bidhaa bado ziko juu.

Jobs report ya October haikuwa nzuri.

Hakika huwezi kuja hapa na kuniambia eti Marekani haina uchumi mzuri kisa tu baadhi ya takwimu si za juu/ chini.
Aisee embu tuliza kichwa na usome kwa umakini.
Israel haina uchumi imara kwa sasa
.
Ndio maana ilidiriki hata kupunguza askari vitani ili iweze ku balance bajeti ya vita.
Mapato yao yalishuka ikiwemo ya bandari kwasababu bandari moja ilikua haifanyi kazi ipasavyo ile ya Eilat kwa kukosekana meli zipitazo red sea.
Biashara nyingi zilifungwa kwasababu ya vita na wawekezaji wengi waliondoka kwasababu ya vita.
Naandika kwa msisitizo unielewe kaka kilichoiokoa ISRAEL kiuchumi isianguke moja kwa moja ni UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS FROM USA AND UK.
Israel sasa hivi imekua na dependent economy kwa USA.
Sasa hivi Israel ina uchumi tegemezi kwa USA,pasi na USA kumpa tafu huyu myahudi ungeona Israel watu wakisafa kama Gaza.
UKitaka takwimu na ripoti nakuletea acha ubishi usio na tija.
Uchumi wa Israel ulikua unaenda kwenye anguko la moja kwa moja sio kutikisika bali kuanguka kabisa.
 
Mapinduzi ya bila silaha ni mapinduzi ya kisiasa, lakini mapinduzi ya kijeshi ni lazima silaha ziwemo mikononi.

Kufyatua ama kufyatuliana risasi ni jambo jingine, maana kubeba bunduki hakulazimishi kufyatua risasi.
Kitendo cha askari kuamua kupora madaraka hata bila kubeba silaha hilo tayari ni mapinduzi ya kijeshi.
Kwasababu tunatizama kwanza wahusika.
Wahusika ambao ndio wanajeshi wameshatumia act of intimidation ili wewe utoke madarakani tayari hayo ni mapinduzi ya kijeshi.
Wewe umeona wapi mapinduzi ya kisiasa wanajeshi wanahusika!?
 
Aisee embu tuliza kichwa na usome kwa umakini.
Israel haina uchumi imara kwa sasa
.
Ndio maana ilidiriki hata kupunguza askari vitani ili iweze ku balance bajeti ya vita.
Mapato yao yalishuka ikiwemo ya bandari kwasababu bandari moja ilikua haifanyi kazi ipasavyo ile ya Eilat kwa kukosekana meli zipitazo red sea.
Biashara nyingi zilifungwa kwasababu ya vita na wawekezaji wengi waliondoka kwasababu ya vita.
Naandika kwa msisitizo unielewe kaka kilichoiokoa ISRAEL kiuchumi isianguke moja kwa moja ni UNCONDITIONAL FINANCIAL AIDS FROM USA AND UK.
Israel sasa hivi imekua na dependent economy kwa USA.
Sasa hivi Israel ina uchumi tegemezi kwa USA,pasi na USA kumpa tafu huyu myahudi ungeona Israel watu wakisafa kama Gaza.
UKitaka takwimu na ripoti nakuletea acha ubishi usio na tija.
Uchumi wa Israel ulikua unaenda kwenye anguko la moja kwa moja sio kutikisika bali kuanguka kabisa.
Basi sawa. Israel ni nchi ya dunia ya tatu.

Inazidiwa kiuchumi na Somalia.
 
Basi sawa. Israel ni nchi ya dunia ya tatu.

Inazidiwa kiuchumi na Somalia.
Una shida ya uelewa bro.
Naomba nikuache maana naona una shida ya uelewa.
Mimi sijazungumzia Israeli economic rank bali nimezungumzia anguko la kiuchumi la Israel wakati wa vita kuanzia Oktoba 7 2023 hadi November 08 2024.

Tufanye yameisha.
 
Back
Top Bottom