Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Nime kaa chumbani na rafiki yangu, mara akatumiwa sms post zimetoka waambie na wenzako, tembelea MOE, jamaa mbio mpaka kwenye simu lakin kutazama hakuna.
Tukaona labda kwa simu haionyeshi, washa PC nako hamna kitu, tulipo mpigia jamaa akaapia mara mbili mbili ni kweli yamewekwa na sio mtu wa matani !
Akasema tumpe jina arudi cafe, ile anarudi akasema wamesha yatoa !!
Kwa hiyo mnao subiri mkae chonjo!!