Posta Tanzania hongereni kwa huduma nzuri na nafuu

Hii imekuwa nzuri sababu ngoma inatoka Tegeta kwenda ujerumani, ingekuwa ni kinyume chake yaani kutoka kwa Hitler kuja Tegeta ndo ungefurahia shoo
Hahaha. Kwanini mkuu??
 
Dah niliumia sana, mbaya zaidi parcel ikawa inaonyesha tayari imefika bongo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi binafsi nimeshaandika sana complains kwenye sanduku la maoni lakini bado kuna mapungufu madogo ya shirika la posta hasa kwenye uaminifu na pia hawajitangazi sana, shirika linadidimia yani utadhani walikua wanagegemea kupata pesa pitia Barua na na uendeshaji wa sanduku maana baada ya matumiz ya simu kuingia kwa kasi shirika ikalegeza, kumbe wanagejikita kuboresha sana kwenye mambo ya shipping nahisi tungefika mbali, pia uaminifu uwepo tungepiga hatua kimtindo, yani wanipe mimi tu shirika niwe DG ndani ya miezi 6 ningeleta mabadiliko sana, watu wanatuma sana mizigo na kupokea ila wanatumia clearing and forwad agents binafsi na shirika lipo[emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kwenye tracking number ilisoma na mpka leo unayo kumbukumbu ulikua unatakiwa kuwasha moto sema hukujua hatua za kufuata wez sana wale nawajua
Hivi mzigo ukipotea unaanzia wapi procedures za malalamiko, je unapeleka mahakamani shitaka la madai au ndani ya offisi husika iliokua na mzigo wako kwanza kabla ya kwenda mbali zaidi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi nimeshaandika sana complains kwenye sanduku la maoni lakini bado kuna mapungufu madogo ya shirika la posta hasa kwenye uaminifu na pia hawajitangazi sana, shirika linadidimia yani utadhani walikua wanagegemea kupata pesa pitia Barua na na uendeshaji wa sanduku maana baada ya matumiz ya simu kuingia kwa kasi shirika ikalegeza, kumbe wanagejikita kuboresha sana kwenye mambo ya shipping nahisi tungefika mbali, pia uaminifu uwepo tungepiga hatua kimtindo, yani wanipe mimi tu shirika niwe DG ndani ya miezi 6 ningeleta mabadiliko sana, watu wanatuma sana mizigo na kupokea ila wanatumia clearing and forwad agents binafsi na shirika lipo[emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kujitangaza na uaminifu Ni kweli. Watu Wengi hawajui huduma zao zaidi ya kutuma barua na tangu barua zife watu wanadhani hakuna Cha kufanya posta, Mimi nlikuwa mmoja wao.
Ila siku hizi wanapage yao Istagram naonaga adm wa Ile page Yuko active to respond na kufollow up malalamiko ya wateja wao.
 
Ndio ninachotaka kufanya sasa hivi, nitatumia mashirika binafsi tu kuagiza mizigo yangu
 
Posta wakikaza buti hata ndani ya nchi tu, wanaweza kupunguza idadi ya machinga kwa zaidi ya 60%
True, kwanini wasishawishi au kulazimisha kila mtanzania wa umri fulani awe na sanduku la posta (postal address) pesa zitakazopatikana waweze kuboresha miundombinu ya posta, ili kila mtanzania walau apokelee mzigo wake mlangoni kwake.

Hebu nieleweshe rafiki, Je haiwezekani?
 
Hapo kwenye kujitangaza na uaminifu Ni kweli. Watu Wengi hawajui huduma zao zaidi ya kutuma barua na tangu barua zife watu wanadhani hakuna Cha kufanya posta, Mimi nlikuwa mmoja wao.
Ila siku hizi wanapage yao Istagram naonaga adm wa Ile page Yuko active to respond na kufollow up malalamiko ya wateja wao.
Sawa sawa tulifufue shirika letu kwa kuwalalamikia waamke eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom