Posta Tanzania hongereni kwa huduma nzuri na nafuu

Posta Tanzania hongereni kwa huduma nzuri na nafuu

Hao ni sikio la kufa tu, wana fursa kibao za kuweza kuliteka soko la vifurushi la ndani na nje lakini bado hawana ubunifu. Miaka ya nyuma 2008... Nilikuwa nalitumia sana shirika hilo kutumia na kupokea mizigo toka nje... Siamini kama wameisha achana na ukiritimba,upigaji na janja janja.... Hamna kitu hapo.👎👎😔
 
Hee. Posta Tanzania wangejitangaza na kujulisha watu huduma zao. Wako very cheap DHL ingefilisika.
Cheap wapi? Kama walikuchangamkia hivyo, ujue huo ni mardi wa huyo aliyekuhudumia kupitia mgongo wa Posta....sidhani kama Shirika lilipata faida.
 
Nimetazama tena imeshaondolewa ktk systemView attachment 1790977
Mzigo ukifika bongo tu,hapo ndio mwisho wa kupata tracking update, mimi nimenunua kitu mtandaoni,
Tracking inaonesha mzigo umekuja chap chap,umefika bongo umeganda....wacha tuone itachukua mda gani kunifikia

Ukiangalia attachment yangu ni siku 8 tu toka china mzigo ushafika bongo...
Sasa toka umefika hapo 22/4
Mpaka leo 27/4 haujafika means tumelala.

Wacha tusubiri
Screenshot_20220427-133125_AliExpress.jpg
Screenshot_20220427-133118_AliExpress.jpg
Screenshot_20220427-133141_AliExpress.jpg
 
Mzigo ukifika bongo tu,hapo ndio mwisho wa kupata tracking update, mimi nimenunua kitu mtandaoni,
Tracking inaonesha mzigo umekuja chap chap,umefika bongo umeganda....wacha tuone itachukua mda gani kunifikia

Ukiangalia attachment yangu ni siku 8 tu toka china mzigo ushafika bongo...
Sasa toka umefika hapo 22/4
Mpaka leo 27/4 haujafika means tumelala.

Wacha tusubiriView attachment 2202257View attachment 2202259View attachment 2202261
Sio wewe tu, nina mizigo mingi sana karibia 50 ipo ktk status hii na wapo kimya kabisa, hatuna cha kuwafanya
Screenshot_2022-04-27-17-51-01-000_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
 
Hakika hatuna la kuwafanya...

Aliexpress, ebay,Amazon n.k inabidi wawe na agents huku kwa sasa,tuachane na hizi huduma mbovu za posta
Jana tu nimejaribu kuzungumza na Meneja wa posta mkoa ambae aliwahi kuniambia kipindi cha the late Magufuli kuwa kama kuna changamoto yoyote nisisite kuwasiliana nae na yupo kwa ajili yetu wateja, nilichojibiwa haki ya Mungu nilibaki nimeduwaa ikanibidi tu nikate simu. Kipindi kile wateja tulikua tunaheshimiwa kidogo angalau, sasa hivi hamna anaeweza kuwafanya chochote kwa hiyo kazi zimerudi kufanyika kwa mazoea. "Wameondoa uoga" 😁
 
Jana tu nimejaribu kuzungumza na Meneja wa posta mkoa ambae aliwahi kuniambia kipindi cha the late Magufuli kuwa kama kuna changamoto yoyote nisisite kuwasiliana nae na yupo kwa ajili yetu wateja, nilichojibiwa haki ya Mungu nilibaki nimeduwaa ikanibidi tu nikate simu. Kipindi kile wateja tulikua tunaheshimiwa kidogo angalau, sasa hivi hamna anaeweza kuwafanya chochote kwa hiyo kazi zimerudi kufanyika kwa mazoea. "Wameondoa uoga" [emoji16]
Lazima kuna namna!
Je tunafanyaje?

Kwani huyo jamaa amekujibuje?
 
Kama huwezi kuyaandika hapa then shut the f**k off.
Basi hapo unajikuta umeongea mwenyewe 😁, watu tunajadili mambo ya maana yenye maslahi na maisha yetu na ya wanaotuzunguka wewe unaleta majibu yako meusi, ebu pita hivi 👈 usituletee uwaki hapa
 
Basi hapo unajikuta umeongea mwenyewe 😁, watu tunajadili mambo ya maana yenye maslahi na maisha yetu na ya wanaotuzunguka wewe unaleta majibu yako meusi, ebu pita hivi 👈 usituletee uwaki hapa
Anticlockwise,Chora 7.
 
Back
Top Bottom