Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Nchi hii kuna watu fikra sijui hata za karne ya mwaka gani.True, kwanini wasishawishi au kulazimisha kila mtanzania wa umri fulani awe na sanduku la posta (postal address) pesa zitakazopatikana waweze kuboresha miundombinu ya posta, ili kila mtanzania walau apokelee mzigo wake mlangoni kwake.
Hebu nieleweshe rafiki, Je haiwezekani?
Sijui Sanduku linalipiwaje, ila wapo wapo tu yaani utafikiri Posta imekufa.
Imagine hata Hati tu ya kusafiria ambayo ni Tsh 150,000 Uhamiaji wakitoa hata kwa watu 1M tayari ni 15B lakini ndio hivyo hawatoi tu ili kuonesha kama Passport ni kitu cha hadhi kuuuubwa ambacho siyo kila mtu anapaswa kuwa nacho.