Angalau hata wewe umesema ukweli, we kweli una uzoefu wa kuwatumia posta, yani kuna baadhi yao wafanyakazi wa posta sio waadilifu mimi ni bora nitumie DHL kulikoHawa utawazoea ila ipo siku watakuliza, waliniibia mzigo wa simu yangu sina hata hamu nao tena [emoji3525][emoji706]
Hee. Posta Tanzania wangejitangaza na kujulisha watu huduma zao. Wako very cheap DHL ingefilisika.
Pole mkuu. Kwenye uaminifu bongo tuko nyuma, Nliona mahali mtu analalamikia DHL nao wanafukunyua mizigo. Yani kote kwenye suala la uaminifu hakuna nafuu
Dah niliumia sana, mbaya zaidi parcel ikawa inaonyesha tayari imefika bongoPole mkuu. Kwenye uaminifu bongo tuko nyuma, Nliona mahali mtu analalamikia DHL nao wanafukunyua mizigo. Yani kote kwenye suala la uaminifu hakuna nafuu
Kama kwenye tracking number ilisoma na mpka leo unayo kumbukumbu ulikua unatakiwa kuwasha moto sema hukujua hatua za kufuata wez sana wale nawajuaDah niliumia sana, mbaya zaidi parcel ikawa inaonyesha tayari imefika bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo ad leo, huwa napitia pitia kuangalia kama labda wamejisahau wakaiupdateKama kwenye tracking number ilisoma na mpka leo unayo kumbukumbu ulikua unatakiwa kuwasha moto sema hukujua hatua za kufuata wez sana wale nawajua
Inamaana parcel Inaonesha imefika bongo Halafu posta hawakukupa mzigo wako??Dah niliumia sana, mbaya zaidi parcel ikawa inaonyesha tayari imefika bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah niliumia sana, mbaya zaidi parcel ikawa inaonyesha tayari imefika bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioInamaana parcel Inaonesha imefika bongo Halafu posta hawakukupa mzigo wako??
Hivi mzigo ukipotea unaanzia wapi procedures za malalamiko, je unapeleka mahakamani shitaka la madai au ndani ya offisi husika iliokua na mzigo wako kwanza kabla ya kwenda mbali zaidi,Kama kwenye tracking number ilisoma na mpka leo unayo kumbukumbu ulikua unatakiwa kuwasha moto sema hukujua hatua za kufuata wez sana wale nawajua
Hapo kwenye kujitangaza na uaminifu Ni kweli. Watu Wengi hawajui huduma zao zaidi ya kutuma barua na tangu barua zife watu wanadhani hakuna Cha kufanya posta, Mimi nlikuwa mmoja wao.Mimi binafsi nimeshaandika sana complains kwenye sanduku la maoni lakini bado kuna mapungufu madogo ya shirika la posta hasa kwenye uaminifu na pia hawajitangazi sana, shirika linadidimia yani utadhani walikua wanagegemea kupata pesa pitia Barua na na uendeshaji wa sanduku maana baada ya matumiz ya simu kuingia kwa kasi shirika ikalegeza, kumbe wanagejikita kuboresha sana kwenye mambo ya shipping nahisi tungefika mbali, pia uaminifu uwepo tungepiga hatua kimtindo, yani wanipe mimi tu shirika niwe DG ndani ya miezi 6 ningeleta mabadiliko sana, watu wanatuma sana mizigo na kupokea ila wanatumia clearing and forwad agents binafsi na shirika lipo[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ninachotaka kufanya sasa hivi, nitatumia mashirika binafsi tu kuagiza mizigo yanguMimi binafsi nimeshaandika sana complains kwenye sanduku la maoni lakini bado kuna mapungufu madogo ya shirika la posta hasa kwenye uaminifu na pia hawajitangazi sana, shirika linadidimia yani utadhani walikua wanagegemea kupata pesa pitia Barua na na uendeshaji wa sanduku maana baada ya matumiz ya simu kuingia kwa kasi shirika ikalegeza, kumbe wanagejikita kuboresha sana kwenye mambo ya shipping nahisi tungefika mbali, pia uaminifu uwepo tungepiga hatua kimtindo, yani wanipe mimi tu shirika niwe DG ndani ya miezi 6 ningeleta mabadiliko sana, watu wanatuma sana mizigo na kupokea ila wanatumia clearing and forwad agents binafsi na shirika lipo[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
True, kwanini wasishawishi au kulazimisha kila mtanzania wa umri fulani awe na sanduku la posta (postal address) pesa zitakazopatikana waweze kuboresha miundombinu ya posta, ili kila mtanzania walau apokelee mzigo wake mlangoni kwake.Posta wakikaza buti hata ndani ya nchi tu, wanaweza kupunguza idadi ya machinga kwa zaidi ya 60%
Sawa sawa tulifufue shirika letu kwa kuwalalamikia waamke etiHapo kwenye kujitangaza na uaminifu Ni kweli. Watu Wengi hawajui huduma zao zaidi ya kutuma barua na tangu barua zife watu wanadhani hakuna Cha kufanya posta, Mimi nlikuwa mmoja wao.
Ila siku hizi wanapage yao Istagram naonaga adm wa Ile page Yuko active to respond na kufollow up malalamiko ya wateja wao.
Ninayo ad leo, huwa napitia pitia kuangalia kama labda wamejisahau wakaiupdate