JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Kama kwenye tracking number ilisoma na mpka leo unayo kumbukumbu ulikua unatakiwa kuwasha moto sema hukujua hatua za kufuata wez sana wale nawajua
Ninayo ad leo, huwa napitia pitia kuangalia kama labda wamejisahau wakaiupdate
Hahahaaa umenikumbusha maisha fulani Korogwe, tulikuwa tunakwenda posta tunapanga foleni kupokea TMO, wanakuwa hawana pesa wanasubiri mtu aje kudeposit ndipo wakulipe halafu unampa tip ya kama shilingi 10.00 karani wa posta ili siku nyingine akupendelee 🤣posta na simu
Ndio
ExactMkuu Kama ulitumiwa na mtu ilifaa aliyekutumia apeleke malalamiko posta ya huko. Wangemrefund
Nimetazama tena imeshaondolewa ktk systemKuna status ya mzigo kuingia nchini kwako na kuna status ya mzigo ambayo inakuonesha mzigo wako umefikia posta ipi? Mfano GPO ni HQ, TZKAR ni Posta Kariakoo n.k.
Sijajua latest update ya mzigo wako inasomaje.
Ila mzigo ulionyesha tayari umefika posta Dar, as long nilipata pesa yangu, nothing matters anymoreKuna status ya mzigo kuingia nchini kwako na kuna status ya mzigo ambayo inakuonesha mzigo wako umefikia posta ipi? Mfano GPO ni HQ, TZKAR ni Posta Kariakoo n.k.
Sijajua latest update ya mzigo wako inasomaje.
Glückwunsch! Grena
Nächstes Mal werde ich Posta EMS ausprobieren, um zu sehen, wie es funktioniert.👌🏾
Es scheint, dass die Kosten für lokale Pakete hoch und für internationale Pakete fair sind.
Laut Grena ist die Verwendung von Posta EMS sogar weitaus fairer als die von DHL. 🙄
Mach dir keine sorgen 👌🏾Es tut mir leid. Ich wusste nicht, dass Sie EMS gegen DHL vergleichen.
Grena nadhani mifumo mingi ya sasa hivi ya serikali details zinatoka NIDA, same na kwenye TIN ya TRADada wa posta Alinambia kufungua box Ni elfu 40, Ila uwe na namba ya Nida.
Danke☺️Mach dir keine sorgen 👌🏾
Pole Sana mkuu ila bongo kila mahali ni ubabaishaj tu alaf bado tinaambiwa tuwe wazalendo kwl??Nimetazama tena imeshaondolewa ktk systemView attachment 1790977
Bora, nimejua maana unaeza kufa uache parcel yako pale counter ya DHL.Sitoki mkuu, DHL gharama zao zinaleta mshtuko wa moyo [emoji23][emoji23][emoji23]