Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 634
- 436
Nilishapoa mkuu, mpaka leo nikikumbuka mali yangu niliyoagiza nikakaa kusubiri muda mrefu ikafika Dsm ikapigwa! Naumia sana πPole Sana mkuu ila bongo kila mahali ni ubabaishaj tu alaf bado tinaambiwa tuwe wazalendo kwl??
Cheap wapi? Kama walikuchangamkia hivyo, ujue huo ni mardi wa huyo aliyekuhudumia kupitia mgongo wa Posta....sidhani kama Shirika lilipata faida.Hee. Posta Tanzania wangejitangaza na kujulisha watu huduma zao. Wako very cheap DHL ingefilisika.
Mzigo ukifika bongo tu,hapo ndio mwisho wa kupata tracking update, mimi nimenunua kitu mtandaoni,Nimetazama tena imeshaondolewa ktk systemView attachment 1790977
Sio wewe tu, nina mizigo mingi sana karibia 50 ipo ktk status hii na wapo kimya kabisa, hatuna cha kuwafanyaMzigo ukifika bongo tu,hapo ndio mwisho wa kupata tracking update, mimi nimenunua kitu mtandaoni,
Tracking inaonesha mzigo umekuja chap chap,umefika bongo umeganda....wacha tuone itachukua mda gani kunifikia
Ukiangalia attachment yangu ni siku 8 tu toka china mzigo ushafika bongo...
Sasa toka umefika hapo 22/4
Mpaka leo 27/4 haujafika means tumelala.
Wacha tusubiriView attachment 2202257View attachment 2202259View attachment 2202261
Hakika hatuna la kuwafanya...Sio wewe tu, nina mizigo mingi sana karibia 50 ipo ktk status hii na wapo kimya kabisa, hatuna cha kuwafanya View attachment 2202472
Uzee sio tija ya kuchelewesha huduma...Wafanyakazi wake wengi ni wazee
Jana tu nimejaribu kuzungumza na Meneja wa posta mkoa ambae aliwahi kuniambia kipindi cha the late Magufuli kuwa kama kuna changamoto yoyote nisisite kuwasiliana nae na yupo kwa ajili yetu wateja, nilichojibiwa haki ya Mungu nilibaki nimeduwaa ikanibidi tu nikate simu. Kipindi kile wateja tulikua tunaheshimiwa kidogo angalau, sasa hivi hamna anaeweza kuwafanya chochote kwa hiyo kazi zimerudi kufanyika kwa mazoea. "Wameondoa uoga" πHakika hatuna la kuwafanya...
Aliexpress, ebay,Amazon n.k inabidi wawe na agents huku kwa sasa,tuachane na hizi huduma mbovu za posta
Lazima kuna namna!Jana tu nimejaribu kuzungumza na Meneja wa posta mkoa ambae aliwahi kuniambia kipindi cha the late Magufuli kuwa kama kuna changamoto yoyote nisisite kuwasiliana nae na yupo kwa ajili yetu wateja, nilichojibiwa haki ya Mungu nilibaki nimeduwaa ikanibidi tu nikate simu. Kipindi kile wateja tulikua tunaheshimiwa kidogo angalau, sasa hivi hamna anaeweza kuwafanya chochote kwa hiyo kazi zimerudi kufanyika kwa mazoea. "Wameondoa uoga" [emoji16]
Siwezi hata kuyaandikaLazima kuna namna!
Je tunafanyaje?
Kwani huyo jamaa amekujibuje?
Kama huwezi kuyaandika hapa then shut the f**k off.Siwezi hata kuyaandika
Basi hapo unajikuta umeongea mwenyewe π, watu tunajadili mambo ya maana yenye maslahi na maisha yetu na ya wanaotuzunguka wewe unaleta majibu yako meusi, ebu pita hivi π usituletee uwaki hapaKama huwezi kuyaandika hapa then shut the f**k off.
Anticlockwise,Chora 7.Basi hapo unajikuta umeongea mwenyewe π, watu tunajadili mambo ya maana yenye maslahi na maisha yetu na ya wanaotuzunguka wewe unaleta majibu yako meusi, ebu pita hivi π usituletee uwaki hapa
Umefanikiwa?Siwezi hata kuyaandika
Bado sijafanikiwa mkuu, nasubiri hii wiki pia hadi iishe nione kama kutakua na jipya lolote, ikipita nitaanza kufuata taratibu zingine za juuUmefanikiwa?
Hata mimi bado pia mkuu.Bado sijafanikiwa mkuu, nasubiri hii wiki pia hadi iishe nione kama kutakua na jipya lolote, ikipita nitaanza kufuata taratibu zingine za juu
Sijui wamekuwajeHata mimi bado pia mkuu.