macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Watanzania tumezoea kuhangaishwa ndiyo maana watu wengi wanaona kama mwanzisha thread amekosea. Hana kosa lolote na hao posta ndiyo walitakiwa wawe na maelezo sahihi kwani ndiyo kazi yao. Ona sasa wanamwacha mteja kuhangaika wakati siku zote mteja ni mfalme.Kuna urasimu kama hufahamiki ukienda wizara wanakuweka unaulizwa maswali kama uko polisi. Mimi mara ya kwanza nataka kusafirisha ngozi nilihangaika kwanza posta walinimislead walinielekeza wizara ambayo sio. Kufika wizara nikapigoshwa bench aliyenisaidia ni Woiso huyu wa Woiso Original product coz ngozi nilikuwa nimeinunua kwake one call na kibali nikapewa.