Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

Kipindi Cha Nani ulikuepo tech? Kisuu mpambwe? Au mjeda? Sheby?
Nilikuwa pale 1988 mpaka 1991, group 4 (la umeme) enzi za Mbungi na Shabani (umeme), Mwakalindile (namba), Anand (mhindi wa namba), Trut, Mrs Mwakalindile (Chemistry), Mchili (Namba), Msigomba (Biology mwisho form two), Kitomari (Kiswahili), Saka, Mwampaja Headmaster niliyemkuta, akafuatiwa Nkondokaya. Na wengine wengi
 
Kipindi hicho inaitwa "Jela ndogo" na ilikuwa jela ndogo kweli kweli. Assemble ya shule inaitwa "Konde la damu". Kweli kila zama na nabii wake .

Sent using Jamii Forums mobile app
Imeporomoka,hadi inashindwa kuwalipa waalimu mishahara kwa wakati.
Haina mwelekeo tena.
Ngoja tuone labda wasimamizi watainusuru.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Sikuwa jirani....nilikuwa pembeni kidogo[emoji2]
Nilikuwa na "Rafiki" yangu alikuwa anasoma Lyamungo...

Ikuwa akija kunitembelea shuleni na Rafiki zake wananiambia Ile habari yanu ya kugombea mademu wa Weruweru na Machame[emoji2]
Aah ok Hahahaha ilikua rahaa sana enzi zile . Hao lyamungo walinisababishia kupewa suspension ilitokea fujo hatari mambo ya mpira
 
Back
Top Bottom